Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

Mimi ni mkristo..lakini nasema kwa moyo safi BAKWATA haifai kuwaongoza waislam..ipo kimslai zaidi na pia wengi wa viongozi wao wanatumika kisiasa..badala ya kuwasaidia ndugu zetu waislam

Hacha unafiqi na kujipendekeza wewe, yanakuhusu?
 
jamani hata makazini kwetu mara moja kwa mwezi kunakua na fire drill/fire alarm test ambayo ikilia inabidi wote mtoke nje ya jengo na watu wa fire wanakuja...inabidi kujifunza ili siku ya siku mue tayari kwa lolote...sasa hawa ninapenda wanachofanya maana wanawapa ffu/polisi mafundisho ya jinsi ya kukabiliana na vurugu..kuna polisi/ffu wanatoka mafunzoni wanakaa tuu hawapati practice so nawashukuru waislam kwa kulisaidia polisi kufikiri...kama sasa kova na mwema na kikwete hawapati usingizi wanawafikiria nyie...safi sana....na mngeanzia maandamano airport maana unaweza ukute mzee ijumaa asubuhi anachukua ndege marekani sijui mtamuonea wapi
 
Unajua watu wenye akili timamu wangejua mpaka sasa kwamba kwa kuendeleza fujo hizi ambazo zinaonysha uhuni zaidi kuliko lengo dini ambayo inamheshimu Mungu, itafikia mahali waislamu wastaarabu na wanaojua nini maana ya Mungu kweli wataamua kubadili imani zao ili kulinda heshima zao. Huwezi kuwa kwenye dini ambayo kila siku ni kufikiri namna ya kuondoa amani, namna ya kumwaga damu. Hivi ni kweli Mtume Mohamadi angefufuka leo akakuta wanayoyafanya angekubaliana nao? Mimi naamini kuna watu wana malengo mengine na inawezekana wanakuwa funded na watu ambao hawaitakii mema nchi hii kama huyo myemeni ambaye amegundulika huko Zanzibar. Mambo haya yanaichafua sana dini ya kiislamu.

Sisi sote ni watanzania jamani na hapa ndio nyumbani kwetu tukipaharibu hakuna cha muislamu au mkristo atakayekuwa salama. Hata huu uhuru wa kusubiri ijumaa utoke kwenye ibada ndio muanze maandamano hautakuwepo. Unajua wanafikiri wako juu ya nguvu ya dola kumbe ni sheria tu inayolinda kwamba risasi ipigwe angani na isipigwe kichwani ndio inayoleta kiburi chote hiki. Hali ikishabadilika risasi sasa itakuwa inaelekezwa kifuani hapo tena hakuna msalie mtume kila mmoja na kona yake.

Siku ya ijumaa ni siku ya ibada. Hivi kweli unatoka katika ibada unaingia kufanya fujo mitaani? Sasa ni ibada gani ulikuwa unafanya? Ina maana mtu alipokuwa katika ibada alikuwa anafikiria itaisha saa ngapi ili akawafanyizie? Unapata thawabu kweli hapa!!!!!!!!!!!!!Kama kuna tatizo ambalo sisi wengine hatuingilii si wakae tu katika utaratibu wa kawaida wa kuzungumza mambo yanayoihusu dini yao wayamalize? Tusifanye dini kuwa siasa. Chura alisema "huo mchezo wenu ndio mauti yetu sote".
 
Hivi kiongozi wa Dini anajisikiaje kuongoza watu washiomtaka. Hawa viongozi wa Bakwata kama wako kwa maslahi ya waumini wao inabidi wajiuzulu kabla ya hiyo Ijumaa
 
Leo bbc,voa waislam wametangazo maandamano ijuma hii
l

asubuhi nimeweka taarifa ya mipango ya maandamano hapa jf mods wamenyofoa hadi wakisikia bbc na voa ndio wanaona sawa au hadi vurugu zikianza ndipo wanaziachia threads nyingi hapa bila kikomo
 
WAISLAMU WAPANGA KUANDAMANA IJUMAA - 26 OCT 2012.

Naipenda nchi yangu. Mficha Maandamano, ghasia humuumbua. Taarifa hii inalinda amani yetu wote. Hili jambo ni Nyeti kwa mustakabali wa Taifa letu.


Baadhi ya miskiti inapanga kufanya maandamano makubwa siku ya Ijumaa tarehe 26 oct 2012 kwa mujibu wa taarifa zilizovuja kutoka kwenye misikiti . Misikiti hiyo ni ile ambayo ni maarufu kwa kufanya maandamano chini ya Ponda na wanaharakati wengine wa kiislamu. Taarifa kutoka ndani ya misikiti hiyo zinaeleza kwamba mpango huo unaratibiwa baada ya Ponda kukamatwa na kunyimwa dhamana.

Mpango huo unafanywa wakati wa swala za kila siku bila kutumia vipaza sauti ili vyombo vya dola na wanajamii wasiwe na taarifa hizo. Maazimio ni kwamba hadi kufikia saa 9 mchana wa siku ya Alhamisi 25 Oct 2012 kutakuwa na maandamano sehemu mbalimbali za jiji la Dar es slaam kama Sheikh Ponda atakuwa bado hajaachiwa huru au kuendelea kunyimwa dhamana. Kwa mujibu wa taarifa hizo, mpango mzima ni kuhakikisha kwamba maandamano hayo yanapangwa misikitini chini ya usiri mkubwa na utawahusu waumini wataokwenda misikitini .

Miongoni mwa mbinu zitakazotumika:-

- Maandamano yatapangwa kwenye makundi madogo madogo tofauti na ilivyozoeleka katika kundi moja kubwa ili kukwepa vizuizi vya vyombo vya dola. - Wanaume wameelezwa kuwa siku ya maandamano wasivae mavazi ya kiislamu yaani kanzu na balagashia.

- Wanawake watakaoandamana wameelezezwa kwamba kwa nia ya kuutetea uislamu siku hiyo wasivae baibui wala hijabu.

- Baadhi ya waandanaji wameelekezwa ikibidi wanunue vitambulisho vya ukristo kama rozari, vazi la Watawa au tai ya wachungaji zinazotumiwa na kanisa ili kuficha uislamu.

- Masheikh viongozi hawatatumika kutoa amri ya maandamano hayo ili kamatakamata ikianza viongozi wasikamatwe ili kuendeleza mapambano. Vijana maalum wameandaliwa kwa kazi hii.

- Vijana wa kukodi kutoka Zanzibar na Kenya (Waislamu) watakuwepo kuongeza hamasa ya maandamano na kudai haki za waislamu. wanajipanga Ijumaa ifike ...zanzibar na bara hakutakarika!

- Kipindi chote kuelekea siku ya kuandamana masheikh wafuasi wa Ponda watakuwa wanatoa hotuba kali dhidi ya serikali, vyombo vya dola na chuki dhidi ya ukristo ili kuwapa munkari vijana kupambana.

- Mpango wa kundi moja katika ya makundi hayo litaandamana kuelekea Ikulu kutimiza azima yake.

- Kundi lingine litaelekea Wizara ya Mambo ya Ndani.

- Watatumia Radio Imani, gazeti za Alnuur na Alhuda kuhamashisha Waislamu. Vyombo hivyo vinaendelea kusambaza chuki ndani ya jamii.

My take:

- Watanzania tukishabikia mambo haya ya udini, tutaangamiza taifa letu, nchi hii ni zaidi ya uislamu na ukristo.

- Wakati wa maandamano kama hayo jamii iwe mbali na waandamanaji na kuepuka kukaa kwenye makundi ili kukwepa mkono wa dola. Tangazo la JWTZ limetoka kutahadhalisha uvunjifu wa amani.

- Kama huna safari ya muhimu na kama inawezekana siku ya Ijumaa vunja safari zako baada ya kuwaona waandamanaji. Mji ukiwa mweupe tutakuwa tumevisaidia vyombo vya ulinzi na usalama kukabiliana na waandamanaji ambao wanapozidiwa hujichanganya na raia wema.

- Jeshi la Polisi na JWTZ fuatilieni mpango huu kwa ajili ya kulinda amani ya nchi wapenda nchi wako nyuma yenu.

- Tuombe wenye source zaidi na wanaipenda nchi hii waziweke jamvini ili watu waifahamu hali ya nchi kwa sasa na kusaidia kujua wawe na msimamo gani. Ushabiki au kejeli hazibadili fikra za watu.

- TANZANIA TULIYOPEWA NA MUNGU KWA UPENDELEO INAONDOKA TARATIBU !!!!!!. bye bye Tanzania.
 
JWTZ wapo fit kuwaangamiza hao Waislam. Waandamane tu ili nishuhudie wanavyoangamizwa. Itakuwa ni sherehe siku hiyo.
Sasa unatofauti gani na hao wanawaza kuwaangamiza wakristo? inabidi utubu, nakuombea kwa mungu akupunguze jazba na akufungue na vifungo vya hasira.
 
Mimi ni mkristo..lakini nasema kwa moyo safi BAKWATA haifai kuwaongoza waislam..ipo kimslai zaidi na pia wengi wa viongozi wao wanatumika kisiasa..badala ya kuwasaidia ndugu zetu waislam

Wewe ni mkristo sawa, kwani maendeleo yako yameletwa na Baraza la maaskofu?, mbona makanisa yana hospital zilizojengwa kwa sadaka lakini bei ya matibabu juu? maendeleo mwenyewe bwana. Kwa hiyo BAKWATA ndiyo itawapa maendeleo?
 
Siku hiyo lazima nimvizie jwtz yeyote ili nipokonye siraha . Sasa nikiikamata hiyo siraha nitaua waislamu kulingana na idadi ya risasi zitakazokuwemo maana inaonekana kwa amri ya waislamu kova na mwema waislamu wanafanya watakavyo

ha ha ha ha umeniacha hoi ndugu yangu unamanisha ukipata ak 47 yenye risasi 40 utauwa waislamu 40 ????
 
hapa inabidi JWTZ wapewe sare za polis km kipindi kileeee,

uone watu watakavyo chakazwa!!!!!!
 
Siku hiyo lazima nimvizie jwtz yeyote ili nipokonye siraha . Sasa nikiikamata hiyo siraha nitaua waislamu kulingana na idadi ya risasi zitakazokuwemo maana inaonekana kwa amri ya waislamu kova na mwema waislamu wanafanya watakavyo

ha ha ha ha umeniacha hoi ndugu yangu unamanisha ukipata ak 47 yenye risasi 40 utauwa waislamu 40 ????
 
Ndugu wanajamii, michango yenu katika forum hii na zinginezo yapaswa kuwa ya kujenga, kwa pamoja tuache tabia za kutoa maani ya kuogofya, kutukana au kushabikia madhara kwa wengine, ikumbukwe kuwa maoni yetu yanaweza kuwafanya watu wema wakawa wabaya au kinyume chake. Sisi tuliobarikiwa kuwa na uwezo wa kuchangia na kubadilishana mawazo katika hizi forum ni vyema tukatumia nafasi hizi kuelimisha, kujenga uaminifu na kuvuliana katika nyanja zote.

Mambo yakiharibika kila mmoja wetu ataathirika hata kama siyo kimwili, basi kiroho au athari nyingine ambazo kwa ufahamu wangu wa kibinadamu nimeshindwa kuzidadabua sawia. Nakushaurini kuweni wakarimu na wenye kuvumilia, tumieni fursa hii kuwavuta wengine kwenye dini zenu au hata vyama vya siasa mnavyoaamini vinafaa, kwa kuwaelimisha uzuri wa huko mlipo. Kinyume chake mnachajichafua wenyewe, dini zenu na vyama vyenu.

Mungu awape nguvu zaidi wote mnaoamini kwenye kuvumiliana na zaidi wale wenye ukaidi mioyoni mwetu atupe upendo. Mwenyezi Mungu wa rehema atufikishe katika kheri yake ya hapa Duniani na huko akhera

Amani Sana
 
Back
Top Bottom