waislam , wanawake wapo nyuma kimaendeleo. kwanini tusiwakomboe wote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waislam , wanawake wapo nyuma kimaendeleo. kwanini tusiwakomboe wote?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Jan 28, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama watz sote ni ndugu, lazima tupendane. ikiwa jirani yako ni amekosa chakula ni viozuri kumgaia na sio kukimwaga chakula jalalani kwake ili akiona. kumsema pembeni si suluhusho hasa ukizingatia ni jirani yako. ndie anaekufaa kwa dhiki, ikiwa bado ni jirani mwenye upendo njia pekee ya kumsaidia.
  Tunasikia, tunaona na tunaangalia kwamba kuna mataba mawili makubwa ambayo yapo nyuma kimaendeleo. wanawake na waislam. kwa kuwa wanawake wanapigiwa tarumbeta, wansaidiwa wajikomboe, wanasaidia na wanasiasa kupitishiwa sheria ya kila aina wajikombe tabaka hili la pili ambalo watz wote wanaamini wapo nyuma kimaendeleo kwanini nalo tusilisaidie? tusilijengee mazingira kama jirani mwema? kuna ubaya wote kama watz kuwakomboa kwa mbeleko moja?
  lkn linapokuja swala maslahi ya waislam, makanisa na baadhi ya wanasiasa huja juu. kwa mfano swala la uchumi yaani OIC.
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumbe muhogomuchungu sometimes hata wewe unakuwa na point
   
 3. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sana tu
   
 4. V

  Vumbi Senior Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanzania kama taifa lipo nyuma kimaendeleo duniani ukilinganisha na mataifa mengine, kama taifa ni masikini maana yake hata watu wake ni masikini. Bila kukosea nadhani 80% ya wananzania wanaumasini uliotukuka bila kujali jinsia au dini. Na hao 20% wenye maisha ahueni ni mchanganyiko bila kujali jinsia au dini. Umasikini wa watanzania haupo katika misingi ya Uisilamu au wanawake, wapo wakristo masikini na wanawake matajiri na wapo waislamu matajiri sana tena wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa taifa japo ni wachache. Tanzania inatatizo la umaskini kwa ujumla wake wapo watu wachache wanaonufaika na ufumo uliopo lakini kwa ujumla watanzani ni masikini sana. Kinachotakiwa ni ukombozi wa umakini wa watanzania kwa ujula wao kwani tulio wengi tunataabika bila kujali dini au jinsia zetu.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,996
  Trophy Points: 280
  tatizo ni vikwazo vya Dini yao
   
 6. e

  elimukwanza Senior Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  waislam waislam waislam! wakristo wakristo wakristo udini udini udini utakutafuna mpaka kizazi chako.sisi hapa tupo kama watz hayo ya sisi waislam wao wakristo ni heri ukahamasisha ulaji wakiti moto kuliko ili kwani unaweza ukasamehewa.
  namuomba Munyazi Mungu hayo mawazo ya udini uliyo nayo yakome na yashindwe.
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  HATIMAYE TUNAONGEA RUGHA MOJA SASA............

  Kimsingi.....ili mtu aweze kusaidiwa kwa namna yoyote ile......... lazima yeye mwenyewe kwanza atambue kuwa ana tatizo...... kumsaidia mtu ambaye yeye haoni kama ana tatizo haitamsaidia kwani baada ya muda mfupi atarudi kule kule kwenye kuhitaji kusaidiwa. Nasema hivi kwa sababu gani......ili waislamu waweze kusaidiwa ni lazima watambue kuwa wanahitaji msaada.....KAMA AMBAVYO WANAWAKE WANATAVYOTAMBUA.
  Kumsaidia mtu ili aweze kusimama kwa miguu yake mwenyewe si kumpa magongo ili ayatumie kusimama bali NI KUMWELEKEZA JINSI YA KUYAPATA MAGONGO HAYO. Kitendo cha waislamu kutaka mambo yao wafanyiwe na serikali ndicho kinachowafanya warudi nyuma. Ina maana serikali itakapositisha kuwasaidia basi ndiyo mwisho wao utakuwa umefika katika jambo husika.

  Lazima waislamu wakubali na wajue sababu ya kushindwa kwa shule zao zilizo nyingi...............
  Lazima waislamu wajitahidi na kufanya mambo yao wenyewe......suala la kutaka TZ ijiunge na kundi lolote kwa maslahi ya kidini sidhani kama ni sahihi. Ukizingatia kundi hilo linataka nchi inayojiunga iwe ya kiislamu hapo ndo penye tatizo. Nchi yetu haina dini
  Na ndiyo maana mnahangaika sana na hii BAKWATA kwa vile tu mnaamini ina mkono wa serikali
   
 8. e

  elimukwanza Senior Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  vipi chuo kikuu cha waislam morogoro mbona first class za kumwaga.
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Kutamka au kuandika uislamu au ukristo si udini............ Nadhani hufahamu maana ya udni
   
 10. e

  elimukwanza Senior Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hapana matokeo ya kidato cha nne yametoka na tumeona shule nyingi za kata zimefanya vibaya,shule za seminari chache zimefanya vizuri na shule nyingi pia za seminari za waislamu na wakristo zimefanya vibaya.sasa tujadili kwanini wanafunzi wamefeli siyo waislam wamefeli maana hata kwenye mitihani hawaandiki kuwa mimi ni muislam au mkristo.unataka kusema wanafunzi wote wanaosoma st..... ni wakristo?
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Udini utakwisha lini??
   
 12. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Hiyo inawezekana wameweka wanataaluma wazuri sana juu wakasahau huku kwenye msingi AU inawezekana hizo first class unazosema zinatokana na wale waliosoma shule za ST....... halafu wakaenda huko
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  jaman WANGONI TUPO NYUMA KIMAENDELEO TUNAOMBA MSAADA serikali itulishe.I HOPE THIS MAKE SENSE!!!

   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  rafiki, kazi bado unayo. Kwa hiyo wanawake wa kiislam wako nyuma kimaendeleo kwa sababu wakristo hawataki tz ijiunge na OIC?, kwani wanaume wa kiislam wako mbele kimaendeleo?. Nakushauri ulete mada tujadiri kwa nini maendeleo ya jamii za kiislam hapa tz ni duni: tazama: there is no organized social service provision mechanism, wakianzisha shule ina kuwa ni grave kwa watoto kwani hawafaulu et cetera................................
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo connection ya uduni wa dada zetu na OIC sijui umetoa wapi naomba unisaidie kunionyesha
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wako better off kuliko wale wasukuma wa shinyanga, wakurya wa musoma, na sumbawanga (kwa pinda) wako na imani za kichawi mpaka leo japo kuna makanisa (majengo)
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  In the Hadith Muhammad also said a variety of negative things about women. Here is the Hadith:

  "Narrated Abu Said Al-Khudri: Once Allah's apostle went out to the Musalla (to offer the prayer) of Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's apostle?" He replied, "You curse frequently are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you". The women asked, "O Allah's apostle! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in your intelligence. Isn't it true that a women can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said: "This is the deficiency in your religion." Bukhari, volume 1, #301, and vol. 3, #826:
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Qur'an- 4:34 "As for those from whom you fear disobedience, admonish them and send them to their beds apart (stop having sexual relations with them), and beat them."

  The above verse was revealed in connection with a women who complained to Muhammad that her husband slapped her on the face, which was still marked by the slap. At first Muhammad said to her "Get even with him", but then added 'Wait until I think about it". Later on the above verse was revealed, and Muhammad added,

  'We (He and the woman) wanted one thing, Allah wanted another. In other words, God blessed a man slapping around his wife. Zamakhshari, Jalalan and Baydawi also support this.
  The Arabic is much stronger that the words "beat them". It actually says "scourge (whip) them". Muhammad Pickthall correctly translates it this way in his version of the Qur'an."
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo better off ndio maximum ya maendeleo..., tuache segregation na tuhakikishe kila Mtanzania anaendelea mtoa mada amechemsha kuingiza udini hapa, does not matter ni mwananchi gani kama anahitaji msaada asaidiwe..., na sidhani kama siku hizi ukiomba misaada wanakuuliza dini... Please lets wake up na tuanze kujenga kuliko kuendelea kubomoa
   
 20. Mujuni2

  Mujuni2 Senior Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakuna anyewakandamiza waislamu wala anayewanyanyua wakristo, wapagani na kadhalika. Waislamu wana fursa nyingi sana kunyanyuka kuliko hata madhehebu mengine, kwa mfano, mataifa ya kiarabu( waislaam) ya utajiri mkubwa wa mafuta resource ambayo kila kona ya dunia inaitegemea, lakini angalia misaada wanayotoa kwa nchi zetu ; peremende, halua, misikiti n.k. Wayunani wao wanaleta makasina yenye chekechea, shule za sekondari(upili) na vyuo vikuu. Pale Morogoro Mkapa( myunani) alisaidia akatoa majengo ya Tanesco mpaka leo kunafundishwa Islamic education God knows what it means! Sasa kama waislaam wanapewa fursa lkn hawazitumii nani wa kulaumiwa?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...