Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Status
Not open for further replies.
acha uongo. Ndalichako na genge lake wameleta A na B na sio F. genge hili la Ndalichako kama inaglifanyiwa wakiristo uNgaliskia Mkuu wa Upinzani bungeni anavyohaha kwa waziri Mkuu kwa maswali ya papo kwa papo

Nunua gazeti la Mwananchi zione hizo FFFF zilivyo jazana. Acha ubishi na ushabiki wa kidini.
 
Of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, LAKINI mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me I will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.

Waache tu mantinki siioni nadhani ni bora kuwasikia ili tujue. Au wanataka maksi za bure toka NECTA Joce hana?
 
ukikutana nao class vyuoni unaweza ukajiuliza hizi A za ndalichako kwa wanafunzi wa kikiristo, wanishia kupigwa disco mapema. wengi sasa wanakimbilia vyuo vya kanisa, kuficha aibu

Na we umesoma chuo??? Ha ha ha ha maajabu.. Labda zanzba univaste au morogoro univaste.. Mwanafunzi wa chuo huna uwezo wa kuhoji, unaendeshwa kwa hisia kama mbwiga flani.. Yani unaandamana bila mantiki! Ina maana hata kasayansi ka olevo hakajakusaidia kuweza kuhoji.. Shwaini wewe!!

Kwi kwi kwi!
 
na we umesoma chuo??? Ha ha ha ha maajabu.. Labda zanzba univaste au morogoro univaste.. Mwanafunzi wa chuo huna uwezo wa kuhoji, unaendeshwa kwa hisia kama mbwiga flani.. Yani unaandamana bila mantiki! Ina maana hata kasayansi ka olevo hakajakusaidia kuweza kuhoji.. Shwaini wewe!!

Kwi kwi kwi!
nasoma chuo. Lkn kwa bahati mimi nikishamaliza situmii elimu yangu kufunga mikataba mibovu na ya kijinga kwa taifa langu. Nio maana unanishangaa
 
nini maana ya ajira kwa mtazamo wako? hivi unaweza kutuwambia dk slaa ana phd ya nini? acha jazba na chuki zisizo miguu. Ndalichako ni genge lilojikita pale kuwahujumu waislam
tofauti yake na wengine ni kutumia hiyo Phd yake kuchambua vitu kwa ajili ya taifa na si kwa ajili ya dini yake, hujawahi msikia akisema wadini yake wanaonewa, yeye atasema watanzania iwe ni mdini na asiye na dini, lakini wenzetu ni didi yangu dini yangu kama mtoto mdogo analilia gari yangu gari yangu.
 
Jamani hili swala mbona limezuka tu! Issue hasa nini ? Je Waislam hupewa namaba tofauti na wengine mbona wapo wamepata matokeo mazuri sana? Najaribu kujiuliza je mnaosahihisha mitihani huwa ni watu wa dini gani? Hilo Baraza ni la Joyce au watu gani . Ninachofikiri kuna tatizo kubwa ukifikiria sana hata nje ya mada ya mtihani wako hata mitihani utafeli tu . Labda mimi ni ignorant sielewi kabisa?
 
tofauti yake na wengine ni kutumia hiyo phd yake kuchambua vitu kwa ajili ya taifa na si kwa ajili ya dini yake, hujawahi msikia akisema wadini yake wanaonewa, yeye atasema watanzania iwe ni mdini na asiye na dini, lakini wenzetu ni didi yangu dini yangu kama mtoto mdogo analilia gari yangu gari yangu.

sio kwa faida ya dini yake? Acha uzushi wewe. Nani asiemjua?
 
Hongereni wa Tanganyika na waislam kijumla kuiona dhulma hiyo na kuiondosha kwa mikono yenu na sio kusubiri ihsani,

Mola yupo nanyi.

Radio imaan ipo kwenye mtandao na tulio nje ya Tz tutawasikia na tupo pamoja nanyi katika kupigania haki zenu hususan katika ilmu.
wewe ni sultan?
 
Of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, LAKINI mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me I will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.

Inakusaidia kama unataka kwenda kusoma mambo ya dini huko Imarate (UAE)
 
acha uongo. Ndalichako na genge lake wameleta A na B na sio F. genge hili la Ndalichako kama inaglifanyiwa wakiristo uNgaliskia Mkuu wa Upinzani bungeni anavyohaha kwa waziri Mkuu kwa maswali ya papo kwa papo

Mbowe yupo kitaifa zaidi, sijawahi msikia akitetea watoto wakikristo pekee. Yupo kwa ajiri ya watz wote.
Kumbuka mchango wake bungeni baada ya matokeo ya mwaka jana kuwa mabaya.
 
nasoma chuo. Lkn kwa bahati mimi nikishamaliza situmii elimu yangu kufunga mikataba mibovu na ya kijinga kwa taifa langu. Nio maana unanishangaa

Nafurahi kama unasoma chuo... SWALI LANGU KWAKO......... WE HUKUONWA NA NDALICHAKO HADI UKAFIKA CHUO..???? .... By the the way.UNAMAANISHA NINI UNAPOSEMA "kwa bahati".?? I thought una-plan na si bahati...
 
Mbowe yupo kitaifa zaidi, sijawahi msikia akitetea watoto wakikristo pekee. Yupo kwa ajiri ya watz wote.
Kumbuka mchango wake bungeni baada ya matokeo ya mwaka jana kuwa mabaya.
acha hizo. mbowe penye maslahi na kanisa ndipo anapopiga kelele kubwa na kupaza sauti
 
Nafurahi kama unasoma chuo... SWALI LANGU KWAKO......... WE HUKUONWA NA NDALICHAKO HADI UKAFIKA CHUO..???? .... By the the way.UNAMAANISHA NINI UNAPOSEMA "kwa bahati".?? I thought una-plan na si bahati...
kwa bahati situmii elimu yangu kuliangamiza taifa kama wanavyofanya ndugu zenu wa dini nyengine wanaopiga kelele kwamba ndio wao wasomi hapa tz
 
Mkuu Safari_ni_Safari.

Islamic Studies kwanini isifundishwe kwa lugha ya Kiswahili au kiArab kabisa naona kutumia lugha ya Malkia kunapunguza maana ya somo lenyewe.

Typical results we want:

History F
Kiswahili D
English Language F
Islamic Studies A
 
Mkuu Safari_ni_Safari.

Islamic Studies kwanini isifundishwe kwa lugha ya Kiswahili au kiArab kabisa naona kutumia lugha ya Malkia kunapunguza maana ya somo lenyewe.
hahahah. F hiyo ni ya ndalichako na genge lake
 
nasoma chuo. Lkn kwa bahati mimi nikishamaliza situmii elimu yangu kufunga mikataba mibovu na ya kijinga kwa taifa langu. Nio maana unanishangaa

Huko chuo labda unasomea digrii ya Islamic knowledge. Kwa jinsi usivyoushirikisha ubongo, ni ajabu kama utaajiriwa taasisi isiyo ya kiislamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom