Waislam wa Nigeria wampa Falz siku saba kuufuta wimbo wake wa 'This is Nigeria'

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Kisa kuna wanawake wanacheza huku wamevaa hijab. Hivi ni marufuku mwanamke wa kiislam kucheza mziki?

upload_2018-6-6_8-51-8.png


Falz aliiga wimbo wa 'This is America'

READ:
The Muslim Rights Concern (MURIC) has described ‘This is Nigeria’ song by Nigerian Singer, Folarin Falana, AKA, Falz the Bahd Guy, as a ‘hate video and an assault on the self-dignity of every Muslim.’


The group in a statement by its Director, Professor Ishaq Akintola condemned the song and the video for featuring a character that dressed like a Fulani man, who suddenly abandoned his traditional guitar and beheaded a man and also for portraying women in hijab as choreographers dancing the ‘shaku-shaku’.
 
Jamaa bora aifute maana anachezea Imani za watu majuto yataikumba familia yake baadae maana yeye atakuwa amesharestishwa na Boko Haram
 
waumini wa din hiyo hawajui wanacho kiamini sasa.

na waache unafiq mboma boko haram walijihalalishia wale watoto na hatukuona mashekhe wamekuja juu?


huko saudia kwenyewe uislam uliko komaa sasa makanisa yanajengwa


kuna jengo la msikiti pia wanamieleka wamealikwa sembuse kwa hao wanaijeria?
 
Kwahiyo Boko Haramu wao wameruhusiwa kubaka vile vitoto sikuona waraka
Hapo ndo unaona unafiki, Boko haramu wanateka watoto wala hawasemi na kutoa nyaraka, au kwa sababu wanasema wanapigania dini labda? nawaza kwa sauti.
Hiki ndo kinachotokea hata kati ya Palestina na Israel. Palestina wakiua hapo husikii kulalamika na huzioni nyaraka subri Israel alipize kisasi hata zinakotokea huzioni.
 
akili za waislamu huwa zina walakini
hijab tokea lini likawa vazi la quran
kwa hiyo tukivaa na kanzu pia watatulipua!!!pumbav.u kabisa
 
Daah, wameshajimilikisha mavazi? Ingekuwa mbaya kama katika huo wimbo, hao waimbaji wangejinasibu kuwa ni waisilamu, hapo ingesound.
 
Haha!!haya haya Falz kichwa chako halali yao,

This is Nigeria,This is America,

This is Tanzania,Natoka Tanzania Tz mbogo asilimia 70 viongozi wana Cv za uongo,kwenye shule za kata hakuna mtoto wa waziri.
 
Hv ile movie ya ray kigosi ilikuwa inaitwa sister marry kwanini maaskofu waliikomalia isionyeshwe?sababu tu kuna dada amevaa nguo km masister inajulikana hila humu mapovu yanawatoka chuki zikizidi akili haifanyikazi.
 
Back
Top Bottom