Waislam Tunadhulumiwa na BAKWATA, Sasa Twasema Basi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,942
1,858
Bakwata ni chombo halali cha CCM na wala si cha waislam. Balukta yetu tumedhulumiwa na CCM na Bakwata.
CCM imetunyima haki yetu ya kuwa na Kadhi. Bakwata haitutetei, badala yake inafurahia kuona tukinyanyaswa.
Sasa CCM na Bakwata wamefika mbali, wameanza kupandikiza chki kati ya waislam na wakristo huko lgunga.
Waislam tuinuke tuunde chombo kingine cha kututetea maana Bakwata wameshindwa kazi.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,521
4,963
Ni uamuzi wenu tu na nawashauri msichelewe kufanya maamuzi manake chuki ndo hizo zimepandwa, gharama ya kuzitoa ni kubwa!
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
59,049
117,684
Bakwata ni chombo halali cha CCM na wala si cha waislam. Balukta yetu tumedhulumiwa na CCM na Bakwata.
CCM imetunyima haki yetu ya kuwa na Kadhi. Bakwata haitutetei, badala yake inafurahia kuona tukinyanyaswa.
Sasa CCM na Bakwata wamefika mbali, wameanza kupandikiza chki kati ya waislam na wakristo huko lgunga.
Waislam tuinuke tuunde chombo kingine cha kututetea maana Bakwata wameshindwa kazi.
Kweli MS umenena. BAKWATA wanamoderate waislam vyovyote wanavyotaka na wanawapeleka pabaya. Fanyeni maamuzi makini na magumu.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
Kiranja Mkuu, unawasemea waislamu gani? Kwanza wewe ni Murtad, huna haki ya kuishi saa hizi ulipaswa kuwa umekatwa kichwa chako kabisa kikatenganishwa na kiwiliwili.
 
Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,942
1,858
Kiranja Mkuu, unawasemea waislamu gani? Kwanza wewe ni Murtad, huna haki ya kuishi saa hizi ulipaswa kuwa umekatwa kichwa chako kabisa kikatenganishwa na kiwiliwili.

Murtad unajua maana yake weye?? Au waandika tu ilmradi iwe?
 
Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,942
1,858
Kiranja Mkuu, unawasemea waislamu gani? Kwanza wewe ni Murtad, huna haki ya kuishi saa hizi ulipaswa kuwa umekatwa kichwa chako kabisa kikatenganishwa na kiwiliwili.

weye ni kibaraka wa CCM na unafurahia jinsi bakwata inavyouza wakfu zetu kwa makafir. Ulaaniwe milele
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
13,787
23,700
Uislam Tanzania umetekwa nyara na CCM kupitia mgongo wa Bakwata ni jukumu la Waislam kuurudisha katika misingi sahihi uislam kama ulivyokuwa kabla ya uhuru wa Tanganyika
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,781
4,040
Muhammadans, kwanini msianzishe chama au umoja au cult yenu ambayo mnaiamini na kuachana na kulalamika kama vile mnashikiwa bakora kufuata Bakwata? Acheni maskh'hara
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931
Muhammadans, kwanini msianzishe chama au umoja au cult yenu ambayo mnaiamini na kuachana na kulalamika kama vile mnashikiwa bakora kufuata Bakwata? Acheni maskh'hara

Bahati mbaya sikufahamu ningejua uliko...ungenitambua
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,041
4,957
bakwata ni chombo halali cha ccm na wala si cha waislam. Balukta yetu tumedhulumiwa na ccm na bakwata.
Ccm imetunyima haki yetu ya kuwa na kadhi. Bakwata haitutetei, badala yake inafurahia kuona tukinyanyaswa.
Sasa ccm na bakwata wamefika mbali, wameanza kupandikiza chki kati ya waislam na wakristo huko lgunga.
Waislam tuinuke tuunde chombo kingine cha kututetea maana bakwata wameshindwa kazi.

bakwata iliundwa na mkristo nyerere ... Automatically sio chombo cha waislam serikali inatulazimisha tu... Bakwata hawa wanaonekata siku za mwandamo wa mwezi alafu wanapotea.....

Waislam tulio wengi hatuwakubali bakwata...
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,041
4,957
bakwata ni chombo halali cha ccm na wala si cha waislam. Balukta yetu tumedhulumiwa na ccm na bakwata.<br>
ccm imetunyima haki yetu ya kuwa na kadhi. Bakwata haitutetei, badala yake inafurahia kuona tukinyanyaswa.<br>
sasa ccm na bakwata wamefika mbali, wameanza kupandikiza chki kati ya waislam na wakristo huko lgunga.<br>
waislam tuinuke tuunde chombo kingine cha kututetea maana bakwata wameshindwa kazi.
bakwata iliundwa na mkristo nyerere bakwata hawa wanaonekana siku za mwandamo wa mwezi alafu wanapotea..... Hawa jamaa ni wanafiki sana badala ya kuwa chombo cha waislam... Nyerere alikitengeneza kuwa chombo cha serikali kuwadhibiti waislam! P&*^vu
 
Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,251
818
BAKWATA wanakurupuka kulaani DC kuvuliwa mtandio wakidhani hijabu. This is shameful.
 
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
2,199
1,694
bakwata iliundwa na mkristo nyerere ... Automatically sio chombo cha waislam serikali inatulazimisha tu... Bakwata hawa wanaonekata siku za mwandamo wa mwezi alafu wanapotea.....

Waislam tulio wengi hatuwakubali bakwata...

Mbona muislam alhaj Ally Hassan Mwinyi ndiye aliyevunja Balukta? Waislam hivi mpewe nini ndio mrdhike?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom