Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,495
- 13,132
Sasa point yako hapa ni nn? Kwamba unafurahia mateso ya wengine (waislamu) ama? Be specificWako wachache sana lakini hata kabla ya ugaidi wa kujilipua makanisani Waislam Sri Lanka walikuwa na fujo sana. Walilazimisha watu wasilimu na wabadili dini zao. Walibomoa sanamu za budha.
Lakini sasa wanaishi kwa hofu shida na huzuni. Hawajichanganyi nje na biashara zao haziendi watu wamewasusia hata kwenye maduka yao.
Sasa hivi baada ya kujilipua makanisani pasaka yeyote ambaye anamidevu ama amevaa vipedo na ambaye ana sigda kale kaalama keusi pajini ajichanganye mtaani yani ananyukwa makwenzi ya hatarii ama kuzabwa vibao lukuki na kutemewa mate.
Watu sasa wanawaelewa raia Myanmar walivyochukua sheria mkononi kuwafukuza.