Waislam Sri Lanka wanaishi kwa uoga. Jamii huenda ikawatenga baada ya shambulio la makanisa

Kwani mchungaji wako amekuowa?
Sinanga mchungaji boy hohohohohoo mimi ni lion of judah, we kaa na majini yako ulio fuga haya kusaidii kitu zaidi ya uchawi na chuma ulete ndo zenu nyie, hohohohohohoooooooo
 
Hapana, ni yule jamaa alioa kadem ka miaka tisa.
Si unajua tatizo wanao abudu binadamu na kusema Mungu, mara nyingi huwa wanafananisha ndio sababu wanaabudu picture ya muigizaji film na wanasema Mungu. Yani kama humjui Mungu ambaye kaimbu ardhi na mbingu utabaki kusema Mungu yuko kwenye mbingu alio iunba. Sijui akili gani za kufananisha utukufu wa Mungu kusema anaishi sehemu alio iumba hivi mngejua nguvu ya Mungu kweli msinge mfananisha na kitu chochote kile au kusema sehemu alio iumba ndo anakaa kule. Akili Mali Mwacheni Mungu abaki kuwa Mungu na mwacheni binadamu abaki binadamu.
 
Wako wachache sana lakini hata kabla ya ugaidi wa kujilipua makanisani Waislam Sri Lanka walikuwa na fujo sana. Walilazimisha watu wasilimu na wabadili dini zao. Walibomoa sanamu za budha.

Lakini sasa wanaishi kwa hofu shida na huzuni. Hawajichanganyi nje na biashara zao haziendi watu wamewasusia hata kwenye maduka yao.

Sasa hivi baada ya kujilipua makanisani pasaka yeyote ambaye anamidevu ama amevaa vipedo na ambaye ana sigda kale kaalama keusi pajini ajichanganye mtaani yani ananyukwa makwenzi ya hatarii ama kuzabwa vibao lukuki na kutemewa mate.
Watu sasa wanawaelewa raia Myanmar walivyochukua sheria mkononi kuwafukuza.
 
We weren't delivered in this world to live that life. We were delivered to have one purpose, one lord, one faith and one love.
 
Sri Lanka Waislamu wachache? Ushawahi fika? Nimekaa miezi sita pale huwezi kuniongopea Waislamu wachache
Makadirio ya waumini wa dini mbalimbali

Source; https://en.m.wikipedia.org/wiki/Religion_in_Sri_Lanka

Screenshot_20190515-232622.jpeg
 
Wako wachache sana lakini hata kabla ya ugaidi wa kujilipua makanisani Waislam Sri Lanka walikuwa na fujo sana. Walilazimisha watu wasilimu na wabadili dini zao. Walibomoa sanamu za budha.

Lakini sasa wanaishi kwa hofu shida na huzuni. Hawajichanganyi nje na biashara zao haziendi watu wamewasusia hata kwenye maduka yao.

Sasa hivi baada ya kujilipua makanisani pasaka yeyote ambaye anamidevu ama amevaa vipedo na ambaye ana sigda kale kaalama keusi pajini ajichanganye mtaani yani ananyukwa makwenzi ya hatarii ama kuzabwa vibao lukuki na kutemewa mate.
Watu sasa wanawaelewa raia Myanmar walivyochukua sheria mkononi kuwafukuza.
Hujaongeza ile ya kuchoma business complex zao.
 
Back
Top Bottom