King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 671
Hata wewe na majini yako ulio fuga ukitaka tuna kuwowa tu,Ni kweli na ndio makanisani zikawepo ndoa za jinsia moja Kwa upole wenu wa hata mwanaume kukubali kuolewa
Hata wewe na majini yako ulio fuga ukitaka tuna kuwowa tu,Ni kweli na ndio makanisani zikawepo ndoa za jinsia moja Kwa upole wenu wa hata mwanaume kukubali kuolewa
Ni yule kajamaa aliyekamatwa na kijana wa kiume aliyeweka chupi begani akaitupa akakimbia uchi kule kwenye vichaka vya bustani
Kwani mchungaji wako amekuowa?Hata wewe na majini yako ulio fuga ukitaka tuna kuwowa tu,
Nani Muddy saleo salaleu mfukua mitaro ya masela wenzie
Sinanga mchungaji boy hohohohohoo mimi ni lion of judah, we kaa na majini yako ulio fuga haya kusaidii kitu zaidi ya uchawi na chuma ulete ndo zenu nyie, hohohohohohooooooooKwani mchungaji wako amekuowa?
Mara baada ya yule kijana kutupa chupi na kukimbia Jessy akaanza Kula kisago cha mbwa koko
Si unajua tatizo wanao abudu binadamu na kusema Mungu, mara nyingi huwa wanafananisha ndio sababu wanaabudu picture ya muigizaji film na wanasema Mungu. Yani kama humjui Mungu ambaye kaimbu ardhi na mbingu utabaki kusema Mungu yuko kwenye mbingu alio iunba. Sijui akili gani za kufananisha utukufu wa Mungu kusema anaishi sehemu alio iumba hivi mngejua nguvu ya Mungu kweli msinge mfananisha na kitu chochote kile au kusema sehemu alio iumba ndo anakaa kule. Akili Mali Mwacheni Mungu abaki kuwa Mungu na mwacheni binadamu abaki binadamu.Hapana, ni yule jamaa alioa kadem ka miaka tisa.
10 percent mkuu. Nadhani ulikuwa ZenjiSri Lanka Waislamu wachache? Ushawahi fika? Nimekaa miezi sita pale huwezi kuniongopea Waislamu wachache
Makadirio ya waumini wa dini mbalimbaliSri Lanka Waislamu wachache? Ushawahi fika? Nimekaa miezi sita pale huwezi kuniongopea Waislamu wachache
Hujaongeza ile ya kuchoma business complex zao.Wako wachache sana lakini hata kabla ya ugaidi wa kujilipua makanisani Waislam Sri Lanka walikuwa na fujo sana. Walilazimisha watu wasilimu na wabadili dini zao. Walibomoa sanamu za budha.
Lakini sasa wanaishi kwa hofu shida na huzuni. Hawajichanganyi nje na biashara zao haziendi watu wamewasusia hata kwenye maduka yao.
Sasa hivi baada ya kujilipua makanisani pasaka yeyote ambaye anamidevu ama amevaa vipedo na ambaye ana sigda kale kaalama keusi pajini ajichanganye mtaani yani ananyukwa makwenzi ya hatarii ama kuzabwa vibao lukuki na kutemewa mate.
Watu sasa wanawaelewa raia Myanmar walivyochukua sheria mkononi kuwafukuza.
Hahahaha, Google hiyo. Tembelea siku moja pale10 percent mkuu. Nadhani ulikuwa Zenji
10 percent mkuu. Nadhani ulikuwa Zenji
HHaha10 percent mkuu. Nadhani ulikuwa Zenji