Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,235
- 8,779
Kwani wakristu wamewaambia wanalipiza kisasi? kwenye ukristu hakuna ile mambo ya jino kwa jino. Ukristu una ukipigwa kofi la kushoto geukia na upande wa kulia ulambwe kofi jingine alafu pita hivi...
Muulize Pengo kafanya nini Zanzibar