Waislam Sri Lanka wanaishi kwa uoga. Jamii huenda ikawatenga baada ya shambulio la makanisa

Kwani wakristu wamewaambia wanalipiza kisasi? kwenye ukristu hakuna ile mambo ya jino kwa jino. Ukristu una ukipigwa kofi la kushoto geukia na upande wa kulia ulambwe kofi jingine alafu pita hivi...

Muulize Pengo kafanya nini Zanzibar
 
Hayo mawazo ya sijui dini fulani ni ya watu fulani ni mawazo ya waafrika.

Ni kwa sababu hizo dini hazituhusu, tuliletewa tu na kuaminishwa vitu that don't make sense at all. Malaika wote na mitume wote within hizo dini zao ni waarab na wayahudi/wazungu....hizo hadithi ndani ya Qur'an na Biblia ni kwa ajili ya hao watu siyo sie.
 
Ndio maana nikakwambia hayo ni mawazo ya waafrika tu,hao waarabu nao walikuwa na imani zao za mababu zao kabla ya uislamu na hivyo uislamu haukuenea kirahisi huko kwa waarabu nguvu pia ilibidi kutumika ila huoni leo waarabu kuzungumzia imani za mababu zao,hao wazungu hawatajwi popote humo kwenye maandiko ya kikristo ili tuseme ukristo unawahusu na hata wao walikuwa na imani zao kabla huo ukristo kuingia huko kwao ila hukuti kusema et hii dini tumeletewa haituhusu.
 
Well said.
 
Wakristo walifanya kitu gani Zanzibar 1964 mpaka leo ?? zaidi ya watu 15000 wamekufa na wanaendelea kufa chini ya uvamizi uliopewa jina la muungano
Wee lijamaa unanifurahishaga sana na majibu yako yaani unaonesha picha halisi ya Uislam
 
Ma dini ya kuletewa na waarabu au wazungu yanawafanya mshupaze shingo kubishana. Poor yoor.
 
Waislam ni kama wana laana vile duh, kuuana wenyewe kwa wenyewe mala wame hamia kwetu!!!! Sisi ni wapole sana ila tukiamua tuna sambalatisha misikiti yote
 
Ni kweli na ndio makanisani zikawepo ndoa za jinsia moja Kwa upole wenu wa hata mwanaume kukubali kuolewa
 
Back
Top Bottom