Waislam Naomb mnisaidie maana ya mfungo wa mwezi mtukufu na futari.

so law

Senior Member
Dec 24, 2018
101
269
Kama heading inavosema..
Yaani hakuna watu wanyenyekevu kama waislamu, naangalia jinsi mwezi wao unavoingiliwa na wakristu mpka najisemea moyoni Mbona sisi wakati wa kwaresma Waislam huwa wanakaa mbali sana na imani yetu na kuacha kujipendekeza... na Kama ilivo Ada wakristu mkifunga jioni mnakula nyie na familia zenu ndani mkiwa mmejifungia

Nashangaa mwezi mtukufu kina makonda wanafuturisha ,tena idadi ya wahudhuriaji Sio Waislam, like what's the point??

Binafsi naona ni ushamba na kuingilia imani za watu kuharibu mipangilio.
 
Mi napendaga zile futari zao mchanganyiko tu yaani buku 3 tu unawekewa nyama samaki wali tambi maharage maboga viazi haf uji unajiwekea utakavyo daah!! .. wakimaliza mfungo ndo basi tena tutarudi tena kulekule buku 3 unawekewa ugali dagaa na kachumbari na pilipili aagh!!
 
Back
Top Bottom