Waislam Milioni 10 Kila Mwaka hubadili Dini na Kuwa Wakristo

Status
Not open for further replies.

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Takwimu za kuanzia mwaka 2015 hadi 2021 zinaonyesha kuwa kila mwaka Waislam milioni 10 duniani kote hubadili dini na kuwa Wakristo. Ukilinganisha na Wakristo 25,000 tu ambao hubadili dini na kuwa Waislam.

Ambapo kila siku Waislam 16,000 nchini USA hubadili dini na kufuata mafundisho ya YESU KRISTO huku jumla ya Waislam milioni 6 barani Afrika kila mwaka wakibadili dini na kuwa Wakristo.

Hali hii inafanya dini ya ukristo kuendelea kuwa kinara kwa wafuasi wengi duniani kwa zaidi ya nusu karne ijayo.

Kwa sasa christian religion ina jumla ya wafuasi wapatao bilioni 2.5 huku Muslim religion ikiwa na wafuasi wapatao bilioni 1.9 na kufikia mwaka 2050 inakadriwa kuwa Wakristo watakuwa bilioni 3 huku Waislam wakiwa bilioni 2.8.

Nazani sasa ndugu zangu Waislam majibu mumeyapata.

___________________________________________


"Why Are Thousands of Muslims Converting to Christ? -" Why Are Thousands of Muslims Converting to Christ? -
"How many Muslims converted to Christianity? - Quora" How many Muslims converted to Christianity?
"Six Million Muslims Convert To Christianity in Africa Alone Each Year | Muslim Statistics Admin | New Age Islam | Islamic News and Views | Moderate Muslims & Islam" Six Million Muslims Convert To Christianity in Africa Alone Each Year | Muslim Statistics Admin
"5 Reasons Muslims Convert | CT Pastors | Christianity Today" 5 Reasons Muslims Convert
 
Hapo kwanza nichekeee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hata mimi Inabidi nicheke ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Naona mtoa mada anawasaliti wenzake kwani si walikubaliana na wanajisifu wao hawana time ya kujua nani wameingia dini yao wala kumpigania Mungu wao na wakatuita sisi washamba kisa tunafiatilia watu wakisilimu na kusema Takbir ila wao hawanaga mambo hayo wametulizana

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†
 
Takwimu za kuanzia mwaka 2015 hadi 2021 zinaonyesha kuwa kila mwaka Waislam milioni 10 duniani kote ubadili dini na kuwa Wakristo. Ukilinganisha na Wakristo 25,000 tu ambao Ubadili dini na kuwa Waislam...
Kwani si mlikubaliana nyinyi hamfuatilii hayo mambo sasa mbona unawaaibisha wenzako ? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†
 
Takwimu za kuanzia mwaka 2015 hadi 2021 zinaonyesha kuwa kila mwaka Waislam milioni 10 duniani kote ubadili dini na kuwa Wakristo. Ukilinganisha na Wakristo 25,000 tu ambao Ubadili dini na kuwa Waislam
Ungeonyesha pia wanaotoka Ukristo na kuingia Uislamu.

Kumbuka kuna kuzaliana na kufa pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom