Waislam mara nyingine mnakuwa a little too sensitive bila sababu

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Kuna kampeni ya Waislamu dhidi ya kampuni ya Nike kwamba imeweka jina "Allah" kwenye viatu na Waislamu wanakuja juu kwamba alama hiyo iondolewe. Ukweli ni kwamba Nike walikuwa wameandika "AIMAX" kwenye hicho kiatu ambapo ndugu zangu Waislamu wanasema ni "Allah" baada ya kuondoa herufi AI na kubakiza IMA, kisha kuiweka kuipindua IMA upside down na kuiangalia kama maandishi ya kiarabu.

'Just DON'T do it!' Thousands of Muslims demand Nike withdraw 'insulting' Air Max trainers 'that have Allah written on the sole'

Connor Boyd For Mailonline
Outraged Muslims are demanding Nike recall an 'offensive' line of trainers because the logo looks like Allah's name in Arabic.
Saiqa Noreen launched a petition to pull the Air Max 270 shoe and has accused the sportswear giant of 'blasphemy'.
The petition, which has gained more than 6,000 signatures in just hours, blasts Nike for allowing God's name to be 'trampled, kicked and become soiled with mud or even filth'.

The design features the words Air Max spelled out in a custom, joined-up font on the sole of the shoe, which was released last year.

In Muslim culture showing the sole of your shoe is seen as the height of disrespect as it implies you want to hurt someone with it.

1548845888486.png
1548845223083.png
 
Yaani hata kufauatilia mjadala huo umeshindwa ukaja na hili
Sole maana yake nini?
Na hiyo picha sio kabisa inayogombewa
Rejea pia Miaka ya nyuma jews pia walichokozwa nao
Leta habari kamili sio ulizozisikia kijiweni

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kwahiyo wewe ndio unajiona una akili kushinda waislamu wote?
Kushinda Waislamu wanaolalamika vitu kama hivi, yes. Najua si Waislamu wote watapigia kelele alama ya Nike eti imeandikwa Allah, ni wale wenye akili kama zako, wale mnaojifanya mna copy right to jina Allah
 
Ni matusi kukanyaga jina tukufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hapo Nike hawajaandika Allah, ila Waislamu wameamua AIMAX iwe ALLAH, tena kwa kuipindua na kuondoa baadhi ya herufi kwenye AIMAX. In fact hao wanaolalamika ndio wanaomtukana Allah.

Kuna siku nikiandika All Ah batteries were found to be kaput - mtasema nimetukana Allah. Very boxed thinking nyie watu.

Tena naenda kununua hizo Air Max 270 na utashangaa nitazikanyagia wapi. Mmezidi sasa nyie watu.
 
Yaani hata kufauatilia mjadala huo umeshindwa ukaja na hili
Sole maana yake nini?
Na hiyo picha sio kabisa inayogombewa
Rejea pia Miaka ya nyuma jews pia walichokozwa nao
Leta habari kamili sio ulizozisikia kijiweni

Sent from my SM using Tapatalk
Kwenye picha hicho ndicho kiatu kinapigiwa kelele zisizo na msingi. Chini ya kiatu hiki kuna mandishi IMX ambayo nyie mmechukua IM na kuipindua kuwa VWI na kusema Nike wameandika Allah kwa kiarabu. Sasa kama huko sio kukosa kazi na uchokozi ni nini?
 
Kwenye picha hicho ndicho kiatu kinapigiwa kelele zisizo na msingi. Chini ya kitu hiki kuna mandishi IMX ambayo nyie mmechukua IM na kuipindua kuwa VWI na kusema Nike wameandika Allah. Sasa kama huko sio kukosa kazi na uchokozi ni nini?
Sio mara ya kwanza wao kufanya haya
Hata miaka 10 iliyopita walitengeneza
Sio kawaida bali ni ushari na kutafuta mgawanyiko na katika jamii
Hapo yataanza maneno yasiokuwa na tija na wao wakifurahia

Sent from my SM using Tapatalk
 
Sio mara ya kwanza wao kufanya haya
Hata miaka 10 iliyopita walitengeneza
Sio kawaida bali ni ushari na kutafuta mgawanyiko na katika jamii
Hapo yataanza maneno yasiokuwa na tija na wao wakifurahia

Sent from my SM using Tapatalk
Sawa, lakini why split hairs ili kutafuta tusi? Sana sana mnawasaidia ku-promote hicho kiatu for free. Na labda. I admit, hilo ndio lengo lao.Ni kwamba wanawajua mta-spilit hair na kuwasaidia ku-promote hicho kiatu.

Ni sawa na kusema kama mtu anaitwa Asha, mtu akiandika Mashariki kwenye soli ya kiatu alalamike kutukanwa kwa kuwa ndani ya Mashariki kuna neno Asha. Sasa huo kama sio uchokozi ni nini?
 
For sure kama ni kweli wanapiga hizo kelele ni big promo kwa hilo toleo, watu watakuwa curious na interest ya kujionea kwa macho itaanzia hapo. Hiyo ni step one kuelekea kununua hizo sneakers.
 
Nike watakua wajinga sana kama wakiwasikiliza hawa watu

Mbona dollar imeandikwa "in god we trust" halafu apo apo kuna picha ya jicho lenye kumaanisha 666 ambayo mazinge kila kukicha anahubiri kua alama hiyo ni yakishetani. Kwanini wasilalamike kwamba jina la mungu wao lina dhalilishwa kuwekwa kwenye dollar ambayo inanembo za kishetani??

Sent using unknown device
 
Lakini hapo Nike hawajaandika Allah, ila Waislamu wameamua AIMAX iwe ALLAH, tena kwa kuipindua na kuondoa baadhi ya herufi kwenye AIMAX. In fact hao wanaolalamika ndio wanaomtukana Allah.

Kuna siku nikiandika All Ah batteries were found to be kaput - mtasema nimetukana Allah. Very boxed thinking nyie watu.

Tena naenda kununua hizo Air Max 270 na utashangaa nitazikanyagia wapi. Mmezidi sasa nyie watu.
Haya mambo magumu.kwa jinsi unavyoandika hivi ungekuwa ana kwa ana ungekuwa umeshapoteza kichwa.
Ivi ni mungu anatakiwa awapiganie binadamu au binadamu wampiganie mungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom