Waislam: Hoja ni hijabu si kupigwa kwa DC Igunga.

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
waislamu tofauti nchini wanaendelea kulaani kitendo cha wabunge na wanachama wa chadema kumvua hijabu DC bi Fatuma kimario, wakiongea leo baada ya swala ya Adhuhuri katika msikiti wa Idrissa wamesema kama wao walimtuhumu kuwa alikuwa amevunja sheria kwa kufanya kikao wangemkamata si kumvua hijabu kwani kufanya hivyo ni dharau na udhalilishaji wa dini yake na waislam wote Duniani, hivi kama angekuwa sister wangemvua kitambaa chake kichwani?, au mkristo aliyevaa rosary yake wangeikata? walihoji waumini hao kwa hoja.
 
Chochote kingeweza kutokea, kwa sababu iliwaumma kuona wakihujumiwa. Tuelewe kwamba mtu akikasirika anaweza kufanya vituko. Binafsi naomba waislam wasamehe, halafu washiriki kwenye harakati za kupambana na ufisadi na tusikubali kuchelewesha hizo juhudi kwa tofauti zetu za dini.
 
Mbona Lucy owenya,Mshumbusi na yule Mbnge wa ccm b kule Lukwa mbona waislam hawasemi pamoja na kwamba nao walidhalilisha au kwa sababu si Waislamu?????
 
waislamu tofauti nchini wanaendelea kulaani kitendo cha wabunge na wanachama wa chadema kumvua hijabu DC bi Fatuma kimario, wakiongea leo baada ya swala ya Adhuhuri katika msikiti wa Idrissa wamesema kama wao walimtuhumu kuwa alikuwa amevunja sheria kwa kufanya kikao wangemkamata si kumvua hijabu kwani kufanya hivyo ni dharau na udhalilishaji wa dini yake na waislam wote Duniani, hivi kama angekuwa sister wangemvua kitambaa chake kichwani?, au mkristo aliyevaa rosary yake wangeikata? walihoji waumini hao kwa hoja.
Intention ilikua ni kumkamata mtuhumiwa huyu ila swala la hijab sio lazima awe kavuliwa, hijab imedondoka wakati wa kumkamata mualifu. Nia ilikua si kumvua mtuhumiwa hijab bali ni kumkamata. Yule mama wa Cuf aliyefunuliwa buibui na askari wakati wa kumkamata watu hawa walichukua hatua gani????
 
Hivi ni kwa nini waislam hua wana hasira sana na vitu vidogo vidogo? hiyo ingetakiwa haki za binadamu na jinsia zichukue hatua na sio dini, hilo ni vazi tu la kusitiri mwili, ina maana lisingekua baibui wangenyamaza? tatizo ni mtu kuvuliwa nguo au aina ya nguo? yaani inabidi nianze kusoma quran, sina uhakika wanafundishwaga nini humo.
 
Mkosefu ni mkosefu haijalishi kavaa msalaba au hijabu mara ngapi msikitini na kanisani wanaibiwa simu za mkononi viatu,
 
waislamu tofauti nchini wanaendelea kulaani kitendo cha wabunge na wanachama wa chadema kumvua hijabu DC bi Fatuma kimario, wakiongea leo baada ya swala ya Adhuhuri katika msikiti wa Idrissa wamesema kama wao walimtuhumu kuwa alikuwa amevunja sheria kwa kufanya kikao wangemkamata si kumvua hijabu kwani kufanya hivyo ni dharau na udhalilishaji wa dini yake na waislam wote Duniani, hivi kama angekuwa sister wangemvua kitambaa chake kichwani?, au mkristo aliyevaa rosary yake wangeikata? walihoji waumini hao kwa hoja.
jamani ile haikuwa hijabu bali ni mtandio ambao ata wakristo wanavaa
 
Bakwata nawashauri anzisheni program ya kuwapatia elim dunia viongozi wenu, msiendekeze ILIM tu
 
waislamu tofauti nchini wanaendelea kulaani kitendo cha wabunge na wanachama wa chadema kumvua hijabu DC bi Fatuma kimario, wakiongea leo baada ya swala ya Adhuhuri katika msikiti wa Idrissa wamesema kama wao walimtuhumu kuwa alikuwa amevunja sheria kwa kufanya kikao wangemkamata si kumvua hijabu kwani kufanya hivyo ni dharau na udhalilishaji wa dini yake na waislam wote Duniani, hivi kama angekuwa sister wangemvua kitambaa chake kichwani?, au mkristo aliyevaa rosary yake wangeikata? walihoji waumini hao kwa hoja.

Mambo mengine ni magumu sana kuyajadili tena unapofanya assumption ya vitu visivyokuwepo.

Kuuliza kama angekuwa sister wangemvua kitambaa chake ni swali linaloonyesha upeo mdogo sana wa kufikiri.

Mhalifu anaposhughulikiwa huwa haulizwi dini yake, masuala ya kuulizana dini ni huko polisi na mahakamani sio kwenye eneo la tukio.
 
Na chadema wasipoomba radhi tutaamini kweli CDM inawadharau waislamu, na dharau hii itajulikana inatoka wapi!
 
Mbona kama mi sielewi vizuri issue hapa ni hijab au DC. Au kwan huyo DC kakuta anafanya shughuli za dini ndo kadhalilishwa au ni siasa. Ebu waisilam tusiwe kama vulture kwa kutegemea the misfortune of other dead bodies. Egemea kwenye ukwel na sio kwenye vitu ambavyo n vidogo na sio vya msingi sana. Andamana kwa kudai kurudishiwa shule zenu na mahakama ya kadhi. Haya mambo ya kuangalia chadema kafanya nn hata kama yuko kwenye haki ndo muoppose siyo ya msingi sana na isije mkawa mnatumiwa na ccm ili kuonyesha issue n nzito sn. CCM sio mamaako atakutumia end then atakuacha solemba. Ebu jitahidini kuthink big/more wiser. Nawasilisha
 
Tayari taarifa rasmi imeshatolewa,haombwi mtu radhi katika hili.

Tunafahamu wanaojaribu kulibebea bango suala hili ni ''waislamu ubwabwa'' kwa maelekezo ya magamba pamoja na mshirika wake cuf kwahiyo hawatupi ptresha hata kidogo.
 
Upuuzi mtakatifu!
Jirani yangu mwislamu ambaye wakati mwingine huwa nafikiri ni mpumbafu hawezi kushabikia huu ujinga.....he is intelligent than most of you shura na i dont know what......kenge!
 
Hili swala jamani litatuathiri sana cdm kipindi cha uchaguzi mkuu endapo wakiungana na kuwasikiliza viongozi wao wa dini vile vile wapo wakristo pia wapo njee ya cdm pia tukihesabu na kule unguja na pemba wale wamewekwa pale kuongeza idadi ya kura za raisi wa huku bara lakini sisi hatu chagui raisi wao.Mi nadhani tuombe 2 msamaha kwani tatizo nini kwa muda huu ili tuwanyime cha kuongeo 2015
 
Jamani jamani,nina jamaa,ndugu,marafiki waislam,nisingependa kuchonganishwa kwa upuuzi kama huu. nani vile alisema katika matatizo yanayoikabili dunia ni pamoja na Uislam, nikumbusheni jamani,pamoja na kwamba walimuomba awaombe msamaha na ailwaomba msamaha'wakati tayari message sent'
 
Hili swala jamani litatuathiri sana cdm kipindi cha uchaguzi mkuu endapo wakiungana na kuwasikiliza viongozi wao wa dini vile vile wapo wakristo pia wapo njee ya cdm pia tukihesabu na kule unguja na pemba wale wamewekwa pale kuongeza idadi ya kura za raisi wa huku bara lakini sisi hatu chagui raisi wao.Mi nadhani tuombe 2 msamaha kwani tatizo nini kwa muda huu ili tuwanyime cha kuongeo 2015
stit boy kwa hakika wewe unaona mbali,nimekuvulia kofia,umetoa ushauri mzuri sanasanasana chadema chukueni ushauri huu muufanyie kazi utawasaidia igunga napia ktk uchaguzi mkuu 2015, ADA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI VITENDO.
 
Mbona kama mi sielewi vizuri issue hapa ni hijab au DC. Au kwan huyo DC kakuta anafanya shughuli za dini ndo kadhalilishwa au ni siasa. Ebu waisilam tusiwe kama vulture kwa kutegemea the misfortune of other dead bodies. Egemea kwenye ukwel na sio kwenye vitu ambavyo n vidogo na sio vya msingi sana. Andamana kwa kudai kurudishiwa shule zenu na mahakama ya kadhi. Haya mambo ya kuangalia chadema kafanya nn hata kama yuko kwenye haki ndo muoppose siyo ya msingi sana na isije mkawa mnatumiwa na ccm ili kuonyesha issue n nzito sn. CCM sio mamaako atakutumia end then atakuacha solemba. Ebu jitahidini kuthink big/more wiser. Nawasilisha

huwezi kuelewa kama huuelewi Uislam jinsi unavyo brain wash waumini wake,nimemsikia mwanazuoni aliyekubuhu wa Kiislam asubuhi akimwaga pumba zake, Believe me! jinsi unavyobobea kwenye ilimu ya dini ya Kiislam ndo jinsi unavyotokomea kwenye shimo la wapumbavu. Huyo mwanazuo amehoji uhalali wa wanachadema wanaume kumkamata DC mwanamke,akisema hata polisi hawawezi kumkamata mwanamke wao kama ni wanaume,my take,siku hizi kuna hawa wezi wanavaa hijab/baibui then wanawavizia mahouse girl na kuwalaghai ili kuiba,ina maanisha kama ikatokea nikimfuma akiiba hm kwangu inabidi nimpigie simu mke wangu aje amkamate kama ni mwislam niepuke matatizo, swali Uhalifu ni nguzo ya ngapi ya Uislam,nguzo nizijuazo mimi ni,1.SHAHADA 2.KUSIMAMISHA SWALA 3.KUTOA ZAKA 4.KUFUNGA RAMADHAN 5.KWENDA HIJA...Hizi zingine ambazo ni kinyume na uislam zinatokana na tamaa ya ubwabwa au ? kwa miaka 23 nami nilikuwa mmoja wa mazuzu.
 
Kama CDM ni kweli kuna ajenda mbaya dhidi ya Uislam NAWASHAURI OMBENI MSAMAHA,kama hakuna ajenda yoyote mbaya na Uislam,kuomba msamaha ni ujinga mzito ambao hautapata muzani wa kupimia. Mkiomba msamaha tu,Magamba wamewapiga bao, wataanza Oooh Tulisema hawa wanampango mbaya na Uislam,Oooh tulisema hawa ni Kanisa,si mnaona wamegundua mmewasitukia ndo wanajifanya bahati mbaya, Hakika Magamba watakuwa wameshinda kwa TKO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom