Waislam Feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislam Feki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Aug 8, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
1. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#1
Aug 8, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Hawa waliofunga na huku wamegoma kutuuzia mafuta ni waislam feki na funga zao ni batili.

2. B

Bajabiri JF-Expert Member

#2
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

am a muslim too,hawa wafanyabiashara ya mafuta wana cha kujibu kwa ALLAH,,,,,,

3. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#3
Aug 8, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
mateso ambayo tumekuwa tukiyapata kutokana na mgomo wao hayaelezeki.
Je kwenye mwezi huu wa toba wao wanatubia kitu gani ilhali wanaangamiza maelfu kwa maelfu ya watanzania

4. B

Bajabiri JF-Expert Member

#4
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Lakin wapo wanaosema wao wanachoangalia faida tu na si kingine,mfano ni yule kaburu wa ENGEN

5. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
hivi mkuu waislam wanastahili kupata uzima wa milele?

6. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280

your heading ( WAISLAM FEKI ) is a lil bit Extreme! ...

7. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#7
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
wamaanisha nini..?

8. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#8
Aug 8, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Mnawaonea bure. Mwenye hatia ni yule kiongozi wa nchi ama wizara husika ambae ameshindwa kuona mbali na kulitafutia ufumbuzi hili tatizo, who knows, may be nae anafaidika na hii biashara ya mafuta ama ana interests zake.

9. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#9
Aug 8, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 25
Trophy Points: 0

kwa lugha uliyoitumia unauhakika Kiranja Mkuu amekuelewa?

10. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#10
Aug 8, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 25
Trophy Points: 0
Sisi na saumu zetu wao na mafuta yao.

11. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#11
Aug 8, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
mkuu Yesu aliwaambia wanafunzi wake yeye ndiye njia ya kwenda uzimani,sasa muhammadi naye atapeleka wa kwake mbinguni kwa njia ipi?

12. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#12
Aug 8, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Hii thread sasa hivi itachafuka kuna watu wakiona neno Waislam tu kosa! sasa hivi utawaona

13. MaxShimba

MaxShimba JF-Expert Member

#13
Aug 8, 2011
Joined: Apr 11, 2008
Messages: 35,816
Likes Received: 129
Trophy Points: 160
Waislam bana

14. B

Bajabiri JF-Expert Member

#14
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Allaha ameshawazungumzia wadhulumati,wanaopunja kwenye vipimo na wala riba,so wauza mafuta wana dhima na majibu murua kwa ALLAH

15. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#15
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
kwetu sisi Mtume mohd SAW .... ni mjumbe! SIO MUNGU , yeye mohd SAW ameleta ujumbe kwetu sisi.. katuonesha njia.. yapi mema yapi mabaya... yapi tufanye yapi tuache.. yapi yamekatazwa na yapi yameamrishwa .... Njia ya kwenda peopni kwa muislam ipo mikononi mwake ! kwani ujumbe keshaletewa akiukataa ataenda motoni akiukubali na kuufata ataelekea peponi...!

16. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#16
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
atakuwa ameelewa, asinge elewa angeniuliza....!

17. Shark

Shark JF-Expert Member

#17
Aug 8, 2011
Joined: Jan 25, 2010
Messages: 20,080
Likes Received: 7,304
Trophy Points: 280
Ya Kaisari?....

18. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#18
Aug 8, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
mkuu yesu mnamwamini ni mwana wa mungu?mnaamini alifufuka na kupaa mbinguni??mnaamini atarudi tena??

19. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#19
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,074
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
tunaamini ni NABII.. tuna AMINI atarudi tena kabla ya Siku ya Mwisho ... hatuamini kama ni mwana wa mungu!

quran inasema sifa moja ya Allah ni

Hakuzaa wala hakuzaliwa

20. Kang

Kang JF-Expert Member

#20
Aug 8, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,120
Likes Received: 615
Trophy Points: 280
Wapi imeandikwa Waislamu inabidi waingie hasara mwezi mtukufu? Waendelee kufunga, wanaweza wakatuaamsha Watanzania kutoka kwenye usingizi wetu.

Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...