Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

Allah can't handle rebels. It is very very conspicuous and vivid clear. Him kyant

WAUMINI wa dini ya Kiislamu mkoani Dodoma, wamewataka Watanzania kupuuza uvumi kuhusu mgogoro wa Libya, badala yake, wametaka kuungana na kumuombea kiongozi huyo adumu madarakani.

Wito huo ulitolewa juzi na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabaan, ambaye alisema hakuna machafuko nchini Libya bali kinachotokea ni kikundi kidogo alichokiita cha kihuni kinachopanga kumuondoa, Kanali Muammar Gaddafi.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juzi, Sheikh Shaaban alisema tamko la Waislam wa Mkoa wa Dodoma ni kuwataka wenzao nchini na duniani, kuhakikisha hawaungi mkono kikundi hicho cha kihuni.

Sheikh Shaaban alisema kinachofanyika ni baadhi ya watu ambao wanapenda kunywa pombe na kutumia dawa za kulevya, walioko mpakani mwa nchi hiyo na Misri ndio walioanzisha fukuto hilo.

"Mimi ni nina shahada ya sheria ambayo niliipata Libya, nina ufahamu mzuri wa uongozi wa Gadaffi, ni mtu wa upendo kwa watu wake na nimekuwa nawasiliana na wenzangu huko wanasema machafuko ni ya mji mmoja tu, sio nchi nzima," alisema Sheikh Shaaban.

Kiongozi huyo alisema licha ya kuongoza nchi yake vizuri kwa kwa muda mrefu, Kanali Gaddafi amekuwa na mchango mkubwa kwa mataifa mbalimbali.

Kanali Gaddafi amejenga msikiti mkubwa mjini Dodoma na nchini Uganda. Pia, alifadhili ujenzi wa msikiti wa Butiama, baada ya Baba wa Taifa, marehemu Mwalimu Julius Nyerere kumuomba.

Source: Mwananchi

hahahaaaa,

wapendwa, hizi ndizo justification zenyewe?

hahahaaaaaaaaa!!

kifupi, anamjustify gadafi kwa hoja za kidni tu! maajabu ya firauni haya.

but naomba kuuliza jamani, hivi hiyo shahada aliyosomea huko ilikuwa ya sheria au shariah?

just being curious!!

Nyerere akiwa na MNF(Mwalimu nyerere foundation) alimwomba gaddafi achangie ujenzi wa chuo kitarajiwa butiama, gaddafi alikubali kutoa hela, lakini akatoa sharti zitumike kujenga msikiti! Kuhusiana na vita vya kagera, hayo yalishapita, maana gaddafi alitaka kutoa hela ili arudishiwe askari wake waliotekwa na JWTZ, nyerere akakataa hela, akawaachia bure wale wafungwa. Hapa linaonekana pia tatizo la misaada ya gaddafi-anapenda sana kusaidia miundombinu ya elimu ya kiroho tu na si elimu dunia, ambayo nayo ni muhimu sana.

Gadaf hana elimu yoyote ya kijamii. Yeye kasoma zaidi elimu ya dini ya kiislam na elimu ya jeshi basi. Nyerere aliomba ajengewe chuo. Gadaf akasema kamata pesa hii jenga msikiti tu. maana yake gadaf alitaka waislam wa tz wawe hawana elimu kama yeye. huyo shekye kwakuwa ni kiongozi wa mkoa sisi waislam lazima tujue kuwa alichokisema ni mawazo yake.

Baba, kafir ni mpingaji. Hilo neno lilitumika pia kwenye injili likiwaamaanisha watu wanaompinga Yesu kuwa makafir!.....chunguza vizuri huo ndiyo msingi wa maana ya neno hilo....Yaani mfano, mtu akisema yesu ni mwana wa mungu wewe ukakataa, wewe ni kafir!!

Mia!!

Tumsubiri Allah tuone kama ana nguvu kama anavyo dai. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha, allah v. rebels nani zaidi?

fikra zako zinatoka kwenye masaburi yako ALLAH si wakutaniwa kamtanie yule mungu wenu anaezaa

fikra zako zinatoka kwenye masaburi yako ALLAH si wakutaniwa kamtanie yule mungu wenu anaezaa

mwambie huyo kafiri asicheze na jina la allah...asifikiri ndo mungu wao wanaompigia makofi...pumbafu zake sana huyu

fikra zako zinatoka kwenye masaburi yako ALLAH si wakutaniwa kamtanie yule mungu wenu anaezaa

Astakafulah, weeye wafuata ALLAH!!! Haya tuone huyo allah wako kama atamkomboa Khaaadafuh. Nyie pigeni moyowe na makelele, allah wako kamwe hoto weza kumsaidia huyo khaaadafuh. Ushauri wa bure, soma kolani yako na uone jinsi allah wako alivyo shindwa mponya marehemu mwamedi mutume wake.

Kuomba tu hakutasaidia kama ambavyo hakukusaidia. Si wangeenda kupigana kwa ajili yake. Kwani Gadaffi alikuwa muislamu au msanii? Hana tofauti na Saddam aliyekuwa akiupiga mma hadi aliponaswa akasilimu na kuanza kutembea na koran kutokana na kuzidiwa. Gadaffi alikuwa mnafiki wa kawaida aliyetumia pesa ya walibya maskini kupata umaarufu kutoka kwa makapuku kama hawa wa Dodoma. Gadaffi hakuwa muislamu bali imla.

Go Gadaffi go ye Muamar
Go without turning thy head back ever
The game is up and over sir
Go son of hell, a coward in your own light.
Go Muamar go down standing like a dolt
In flames go down like that
In a shame go even faster
Go go Abuminyal go go and others will go.
Museveni will go
Kagame will also go
Go leave the mark back.
Go like a goon and a stooge.
Go the ignoble way go.

Go the world will remember you.
Just as a symbol of bulimia
Go son of man.
Go Muamar go.
It is time to go.
Never look back go
Go Gadaffi go
It is time to go.

Go from thy man-made no-go
Go go it's time to go
go go go go
Don't turn back go!

Those that you called rats,
Are now coming in scores
Who's between you and em a rat?
Cornered is you tyrant
You a indeed a rat
You called em drugged braggarts,
Little knowing you are but a rat,
You wrongly thought you're smart
Cornered is you braggart
Go Gadaffi go.

Tripoli is a no-go
Libya is a no-go
It is only to Zimbabwe you can go
Go Gadaffi go
Go Gadaffi go
Go go go!

Astakafulah, weeye wafuata ALLAH!!! Haya tuone huyo allah wako kama atamkomboa Khaaadafuh. Nyie pigeni moyowe na makelele, allah wako kamwe hoto weza kumsaidia huyo khaaadafuh. Ushauri wa bure, soma kolani yako na uone jinsi allah wako alivyo shindwa mponya marehemu mwamedi mutume wake.

im proud being a muslim and ALLAH (s.w) is great and islamic umma is definately the best cjui wewe kama ni proud na dini yako ambayo mtu anachukua kipande cha mti anakichonga anakipiga msasa anakipaka vanish halafu ww unakipigia magoti and u ask for your daily bread

Habari za kiintelijensia na za kuaminika ni kuwa,,CHADEMA ndio wanaochochea uvunjikaji wa amani nchini Libya.

na maaskofu wengi ni walawiti

Unaonekana huo mchezo umeshsufanyiwa sana wewe na umekuathiri hadi unashinda kumjua aliyekufanyia hadi unawahusisha watumishi wa Mungu. Nina hakika maana kiujazacho mtu moyo ndicho kitokacho. Ila unatakiwa ujue kuwa waasisi wa huo uchafu ni uarabuni na naamini wamewarithisha wafuasi wao.

WAUMINI wa dini ya Kiislamu mkoani Dodoma, wamewataka Watanzania kupuuza uvumi kuhusu mgogoro wa Libya, badala yake, wametaka kuungana na kumuombea kiongozi huyo adumu madarakani.

Wito huo ulitolewa juzi na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabaan, ambaye alisema hakuna machafuko nchini Libya bali kinachotokea ni kikundi kidogo alichokiita cha kihuni kinachopanga kumuondoa, Kanali Muammar Gaddafi.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juzi, Sheikh Shaaban alisema tamko la Waislam wa Mkoa wa Dodoma ni kuwataka wenzao nchini na duniani, kuhakikisha hawaungi mkono kikundi hicho cha kihuni.

Sheikh Shaaban alisema kinachofanyika ni baadhi ya watu ambao wanapenda kunywa pombe na kutumia dawa za kulevya, walioko mpakani mwa nchi hiyo na Misri ndio walioanzisha fukuto hilo.

“Mimi ni nina shahada ya sheria ambayo niliipata Libya, nina ufahamu mzuri wa uongozi wa Gadaffi, ni mtu wa upendo kwa watu wake na nimekuwa nawasiliana na wenzangu huko wanasema machafuko ni ya mji mmoja tu, sio nchi nzima,” alisema Sheikh Shaaban.

Kiongozi huyo alisema licha ya kuongoza nchi yake vizuri kwa kwa muda mrefu, Kanali Gaddafi amekuwa na mchango mkubwa kwa mataifa mbalimbali.

Kanali Gaddafi amejenga msikiti mkubwa mjini Dodoma na nchini Uganda. Pia, alifadhili ujenzi wa msikiti wa Butiama, baada ya Baba wa Taifa, marehemu Mwalimu Julius Nyerere kumuomba.

Source: Mwananchi

wanataka na Tanzania yenyewe iwe ya kiislamu sio?

Hakika Naungana nao bega kwa bega, tumuombeeni Gadafi Jamani... Eee Mola Shuka Uwainue watu kama Gadafi, Hebu kwa machahe sana aliyofanya kwa ajiri yako Allah, basi Mnusuru na awashinde Adui wa Uislamu na Maendeleo ya Libya. Usifumbe macho Ewe Mola Muumba wa Mbingu na Ardhi, Gadafi katumia rasilimali ulizompa kikamilifu kwa hali ya Duniya na pia kwa hali ya Akhera, Ni wangapi Ya Rabbi, umewajaalia uwezo huo na wakutumia kwa anasa na bado Mungu hujawapa adhabu iumizayo km uliyompa Gaddafi, Angalia kilio cha wenye imani tunamlilia Nusura Ndg, wa Waafrika wengi hususani wananchi wa Tanzania waishio Dodoma. Naamini Kwa imani ya Maombi yangu EE Mungu Utatimiza, Nitakushukuru DAIMA. Allahu Akbar!!!

im proud being a muslim and ALLAH (s.w) is great and islamic umma is definately the best cjui wewe kama ni proud na dini yako ambayo mtu anachukua kipande cha mti anakichonga anakipiga msasa anakipaka vanish halafu ww unakipigia magoti and u ask for your daily bread
Nakuunga Mkono na waeleze wagumu wa kubadilika, Mbona kwa mitume wengine walikubali mabadiliko? iweje kwa Muhamad(S.A.W) wawe na vichwa maji? Hakika Ilsam ndo din ya haki na Ulinmwengu mzima, Allahu Akbar!!

Tumsubiri Allah tuone kama ana nguvu kama anavyo dai. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha, allah v. rebels nani zaidi?
Ewe Kiumbe uliyeumbwa Kutokana na Majimaji yatokayo kwa mwanume kisha yakaa ndani ya mwanamke miezi kadhaa, na bado usishangae hayo yawezeshwa na nani? Hakika uko ktk hasara kubwa... Wa Kumponda Allah uwe weye? Hujui usemalo nakuombea Allah Akuondolee utando km siku ile ulipozaliwa..... ALLAHU AKBAR!!

Back
Top Bottom