Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

Status
Not open for further replies.
Akili mtaji kweli,Sam Bacile. aligundua hana mapesa ya kufanyia promosheni movie lake, akaweka trela,Waislam wakanunua haki ya Kuipromote,kila iitwapo leo wako bize kuipromote Movie ambayo wenyewe wanadai inamdhalilisha mtume wao huu wanabeba postas,sigboards na kila kifaacho kwa kuitangaza kiasi kwamba hata wale ambao hawakuwa na uwezo wa kujua uwepo wa movie hiyo wamejuzwa na kuujua Uislam kwa undani wake. wako bize kuandamana wala hakuna anayehangaika na demage control, yaelekea wameridhika na yaliyomo kwenye hiyo Movie.
Sijui nani awanong'oneze waache kuipromoti hiyo movie kama kweli inamdhalilisha mtume wao,lakini watoe maelezo kinyume na movie inavyoeleza kuonyesha kuwa huyo mtengeneza movie ayaonayo kama ndio matendo mabaya ya Mtume na Uislam,waeleze kuwa hayo ni katika mafungu ya kheri kwenye Uislam. WANAZUONI MKO WAPI ?
 
Magari ya polisi yakiwa na FFU yalikuwa yameuzunguka msikiti wa Kichangani, Magomeni na msikiti wa Mtambani, Kinondoni lakini wameshindwa kuwazuia Waislam kuelekea kidogo chekundu.
misikiti yote ipo chini ya ulinzi,vipi tambaza ,kwa mtoro?Maudhui yao nini?kama ionekanavyo ktk Mabango?
 
Waislam tumezidi, tunapenda maandamano kuliko kutafuta pesa. Huu ni muda wa kazi, watu wako bize na kutafuta maisha, siye twahasishana eti tukalaani sinema vidongo vyekundu? Ndo maana hatuendelei kwa uvivu wetu wa kutafakuri

acha unafik mkuu, ya waislamu tuachie wenyewe.
Usitake kushabijia usicho kijua, wewe baki na imani yako nasi tuache na yetu.
Unajaribu kujivisha nembo ya uislam ili iweje?
 
atakayeogopa ni mnafiki
Viongozi wa dini inabidi waangalie jinsi ya kuelimisha waumini wao. Maana kwa hii trend watu wameacha dini wanaanza kudili na mambo ya kidunia sasa. Sensa imeisha sasa tunatafuta episodi nyingine ili vurugu ziendelee..Waislamu inabidi wawe makini sana na hizi issue za vurugu coz kila ijumaa wanatafuta reason ya kuandamana. Mnasababisha hata waumini waanze kuogopa dini zao..
 
Kwasababu bakwata hawawezi kudai haki ya waislamu
kwa nini wanaita maandamano ya waislamu kwa ujumla wao badala ya maandamano ya kamati ya kudai haki za waislamu chini ya ponda??? Je sio uchochezi????

Baadhi ya taasisi kama bakwata na nyingine hawako katika maandamano hayo.
 
Mkuu umenikumbusha documentary ya Mapaki, The darwin nightmare, Vilaza wa mwanza waliandamana kumuunga mkono kikwete na kumlaani sauper sikumbuki kama jina liko sawa, Tulipokuja kuonyeshwa pale UDSM tukajua ukweli ukoje ndio maana wanafunzi wa UDSM kipindi hicho hawakumuunga mkono kikwete katika hiyo documentary,
Sasa hawa ndugu zangu sijui kama wameiangalia hiyo clip manake nasikia ni ya dk 14 tu, wasije wakawaiga ndugu zangu wa mwanza
 
Wadau,
inasadikika hawa wenzetu (waislamu) wamekusanyika hapo kidongo chekundu na wanaandama sijui kuelekea wapi but i think they are heading to posta mpya.tumepokea taarifa kutoka kwa management yetu kwamba watu wakimbie mjini kwani yasadikiwa huenda fujo zinaweza kutokea.ofisi kadhaa mjini zimeshafungwa sasa sijui kuna usalama kweli huko katikati mjini pls mlio kwenye maeneo hayo mtujuze kinachoendelea!
 
nawapenda waislam hapo kwa misimamo yao tuuu!
GOOD ENDELEENI WAKUU MPAKA KIELEWEKE!
 
dah....mbuai mbuai....dashalama mbuai....ausha mbuai.....ntende zeze.....?
 
Watanzania hata nusu tu tungekua na ari hii ya waislamu nchi ingeshakombolewa zamani hii
 
tunaenda kula pilau mmetunyanyasa sana na marais wenu wakilisto....sasa na sie tumempata tena Alihaji kabisa bhana weye
 
Wadau,
inasadikika hawa wenzetu (waislamu) wamekusanyika hapo kidongo chekundu na wanaandama sijui kuelekea wapi but i think they are heading to posta mpya.tumepokea taarifa kutoka kwa management yetu kwamba watu wakimbie mjini kwani yasadikiwa huenda fujo zinaweza kutokea.ofisi kadhaa mjini zimeshafungwa sasa sijui kuna usalama kweli huko katikati mjini pls mlio kwenye maeneo hayo mtujuze kinachoendelea!

.
Kimbieni maofisini maana kweli hawa ndugu zetu wakiisha pokea mahubiri ya Ijumaa hasira zao zinapanda kufikia kiwango cha kujilipua. Sijafanikiwa kujua ni nini kilicho ndani ya mahubiri yao kinachofanya mtu awe na hasira kiasi cha kutoweshwa katika fahamu zoke. Labda mwenye kujua siri tusaidiane.
.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom