Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

Status
Not open for further replies.
Kwa Serikali hii ya JK. Wataandamana hata kutukana na ky=ufanya vurugu lakini hawataguswa. Ila ingekuwa Chadema tayari wangeshafyatua kitu kizito au Bomu la Machozi.
 
kwa nini wanaita maandamano ya Waislamu kwa ujumla wao badala ya maandamano ya Kamati ya kudai haki za waislamu chini ya Ponda??? Je sio uchochezi????

Baadhi ya taasisi kama Bakwata na nyingine hawako katika maandamano hayo.
 
Hivi hawa polisi wetu sijui vipi? Watu wana andamana kwa amani alaf wao wanataka kuingilia sijui ili iweje.

Magari ya polisi yakiwa na FFU yalikuwa yameuzunguka msikiti wa Kichangani, Magomeni na msikiti wa Mtambani, Kinondoni lakini wameshindwa kuwazuia Waislam kuelekea kidogo chekundu.
 
siku zote mtume wetu kipenzi akizalilishwa hatusubili tuone wezetu muslim brothers wameona inatosha tena ni kwa sababu waislamu watanzania ni wanafiki palitakiwa hapo leo pawe hapakaliki.
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
 
mkuu Invisible kuna member alileta hii mada hapa jana mliifunga haraka sana je huyu sio member kama huyo aliyeleta ile?
mkuu Maxence Melo huu ni upendeleo mkubwa sana hasa kwa hao member wawili kila siku wanalalamikiwa .wakuu there is great segregation discrimination and humiliation going on here in our good forum pliz chek this wakuu
nawaomba mpitie jukwaa la complains you will understand what am talking about

Watu wengine kwa kulalamika maandamano yanafanyika sasa hivi thread utaanzishaje jana...kwa hiyo unataka tuondolewe JF mbakie Chadema peke yenu.
 
kuna sababu nyingi za kufungwa mada! Saa nyingine mada ni nzuri lakini watu wanaweza kuiharibu kwa kuanza kuleta kashfa na matusi kwa dini za wengine hivyo mods wanaifunga ili kuepusha maswala kama hayo.
ile mada niliisoma sana hakukuwa na tusi lolote na alitoa sourse usitete mkuu hili ninauhakika nalo,ilikuwa imechangiwa na watu kama 9 kama sikosei omba irudishwe kama ilikuwa na makosa yoyote
 
Wanabodi,

Nipo maeneo ya barabara ya Lumumba naona makundi ya Waislam wakielekea katika viwanja vya Kidogo chekundu huku gari za polisi wakiwa tayari kupambana na waandamanaji.

Hali sio ya kawaida tusubiri kitakachotokea.

Madai yao ni nini? Waache tu waandamane fujo zaweza kujitokeza wakati wa kuwazuia. Mungu aepushie mbali wasije sababisha mauaji.
 
Watu wengine kwa kulalamika maandamano yanafanyika sasa hivi thread utaanzishaje jana...kwa hiyo unataka tuondolewe JF mbakie Chadema peke yenu.

riiiiiiiiiiiiiiiiiiiiitz naona kakukata maini unaona kama vile anakimbelefront sana..

:focus: maandamano vipi walishafika kidongo tayari..
 
Wanabodi,

Nipo maeneo ya barabara ya Lumumba naona makundi ya Waislam wakielekea katika viwanja vya Kidogo chekundu huku gari za polisi wakiwa tayari kupambana na waandamanaji.

Hali sio ya kawaida tusubiri kitakachotokea.

jinsi wanatajwa kama vile ni viunbe wengine na sia binadamu.Jinsi wanavyotajwa ndivyo wanavyojisikia tofauti na wasio na mahusianiano na watu wengine.Hivyo hivyo ndivyo nao hujikuta wakitengwa.

Reaction ya polisi leo inaweza ikawageuza njia ambayo CCM walipenda itengeneza.
 
mkuu Invisible kuna member alileta hii mada hapa jana mliifunga haraka sana je huyu sio member kama huyo aliyeleta ile?
mkuu Maxence Melo huu ni upendeleo mkubwa sana hasa kwa hao member wawili kila siku wanalalamikiwa .wakuu there is great segregation discrimination and humiliation going on here in our good forum pliz chek this wakuu
nawaomba mpitie jukwaa la complains you will understand what am talking about
Yeah,na kuna mmoja alinitisha eti "kuwa makini",something is definetly not right.
 
Ingefaa zaidi wakikutana waoneshane hiyo filamu na waelewe nini mtengenezaji alitaka kuwaambia na waje na majibu kuliko kulaani tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom