Waisilamu changamkieni fursa kipindi hiki cha uhaba wa maji

Japokuwa ni suala jema lakini inaleta ukakasi mtu anapojitangaza kuwa katoa msaada fulani kwa watu fulani kama wafanyavyo watu wasiomjua Mungu.. ...

Yesu anasema ukitoa msaada usipige parapanda maana Mungu aonaye sirini anajua umetoa na atakulipa kwa kadri inavyofaa... Sasa hapa sadaka imekuwa kama matangazo ya biashara ....

Mungu atujalie wepesi tusitafute sifa kwenye kusaidia wenye uhitaji
Lengo inaweza ikawa kuhamasisha wengine wajitolee
 
Umegonga mahali pema, Juma Aweso kumbe ndiye waziri wa maji na ni muislamu swadakta kabisa, so kwa andiko hili anapaswa kuchukua wazo lako na kuongezea na hili hapa 👇🏾...

Japokuwa ni suala jema lakini inaleta ukakasi mtu anapojitangaza kuwa katoa msaada fulani kwa watu fulani kama wafanyavyo watu wasiomjua Mungu.. ...

Yesu anasema ukitoa msaada usipige parapanda maana Mungu aonaye sirini anajua umetoa na atakulipa kwa kadri inavyofaa... Sasa hapa sadaka imekuwa kama matangazo ya biashara ....

Mungu atujalie wepesi tusitafute sifa kwenye kusaidia wenye uhitaji
Yesu alisema utoapo sadaka sio msaada.Umeongeza chumvi

Misaada sio sadaka.Mtu akijitangaza akitoa msaada Ni sawa tu
 
Magufuli aliijua dini ndio maana alihakisha Hakuna ratiba ya mgao wa maji kipindi chake

Sasa hivi tuna wasiojua dini ndio maana wanapanga Hadi ratiba za watu kukosa maji Tena waislamu
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom