nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
Ndugu zangu hii ni kweli tupu wala haiitaji proof kwani ni mambo yaliyowazi kuhusu ujuha na uwezo wa huyu tunaemwita rais......cha kuumiza ni kuona jinsi wenzetu wa nje wanavyotusikitikia watanzania kwa kuwa na viongozi hawa feki wakati sisi wenyewe(haswa vijijini)watu wanamwona huyu jk kama rais anaefaa.Hata humu jf kuna watu wanabeza ukweli huu kumuhusu jk.....kwa watu makini wanamjua jk ni feki feki feki kabisa na haiingii akilini watu walimchaguaje...................ili kutatua tatizo lazima kulijua kwanza tatizo......watanzania wengi bado hawajui kwamba tuna tatizo kubwa kwa kuwa na huyu rais jk......hii ni shida kubwa sana tuko nayo na tulitakiwa kwa kweli kumpiga chini 2010.......Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
Watanzania tunatakiwa kujua kwamba maadui wetu wakubwa ni kuwa na viongozi kama jk....statements kama hizi zinatakiwa kuwa kwa front pages za magazeti yetu yote(mbona Kenya wanaweza???)..wenzetu wazungu inawauma kwa kuwa kodi zao ndio zinatumika kwa safari za jk....hili ni kweli kabisa....sisi bajeti yetu inategemea wahisani sasa jk anaposafiri pesa anatoa wapi??ni hizo hizo pesa...watanzania wala hawahoji.........inasikitisha sana sana.....majambazi waonekana wamekwiba fedha ya umma(e.g chenge et al na BOT na EPA cases) lakini wanaachiwa alafu jamaa jk linapita duniani linasema eti serikali yake ni ya utawala wa sheria...f'ck it....mijitu imekaa kula hela ya nchi....hakuna wa kumsema mwenzake...utawala mzima mijambazi mitupu.........f'cking country......