Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
Ndugu zangu hii ni kweli tupu wala haiitaji proof kwani ni mambo yaliyowazi kuhusu ujuha na uwezo wa huyu tunaemwita rais......cha kuumiza ni kuona jinsi wenzetu wa nje wanavyotusikitikia watanzania kwa kuwa na viongozi hawa feki wakati sisi wenyewe(haswa vijijini)watu wanamwona huyu jk kama rais anaefaa.Hata humu jf kuna watu wanabeza ukweli huu kumuhusu jk.....kwa watu makini wanamjua jk ni feki feki feki kabisa na haiingii akilini watu walimchaguaje...................ili kutatua tatizo lazima kulijua kwanza tatizo......watanzania wengi bado hawajui kwamba tuna tatizo kubwa kwa kuwa na huyu rais jk......hii ni shida kubwa sana tuko nayo na tulitakiwa kwa kweli kumpiga chini 2010.......

Watanzania tunatakiwa kujua kwamba maadui wetu wakubwa ni kuwa na viongozi kama jk....statements kama hizi zinatakiwa kuwa kwa front pages za magazeti yetu yote(mbona Kenya wanaweza???)..wenzetu wazungu inawauma kwa kuwa kodi zao ndio zinatumika kwa safari za jk....hili ni kweli kabisa....sisi bajeti yetu inategemea wahisani sasa jk anaposafiri pesa anatoa wapi??ni hizo hizo pesa...watanzania wala hawahoji.........inasikitisha sana sana.....majambazi waonekana wamekwiba fedha ya umma(e.g chenge et al na BOT na EPA cases) lakini wanaachiwa alafu jamaa jk linapita duniani linasema eti serikali yake ni ya utawala wa sheria...f'ck it....mijitu imekaa kula hela ya nchi....hakuna wa kumsema mwenzake...utawala mzima mijambazi mitupu.........f'cking country......
 

JK ndiyo kafanya tutukanwe, aache kuendekeza safari za ovyo. Msafara wake ana beba watu 30 wote wa nini? wote wanalipiwa hotel hotel anayo lala yeye. mkutano utakuta ni 1+2, wengine wote wanaishia shopping tu. kUnadhani watoa misaada hiyo awaoni? wacha watutukane, labda Rais wetu atajifunza

uongo mkubwa Rais halali Hotel moja na watu anaosafiri nao na husafiri na watu kulingana na umuhimu wao katika mkutano, wanakuwepo viongozi, watu kutoka sekta binafsi na za umma, wafanyabishara au mwakilishi wa chama cha wafanyabishara, nk.
 
Ndugu zangu hii ni kweli tupu wala haiitaji proof kwani ni mambo yaliyowazi kuhusu ujuha na uwezo wa huyu tunaemwita rais......cha kuumiza ni kuona jinsi wenzetu wa nje wanavyotusikitikia watanzania kwa kuwa na viongozi hawa feki wakati sisi wenyewe(haswa vijijini)watu wanamwona huyu jk kama rais anaefaa.Hata humu jf kuna watu wanabeza ukweli huu kumuhusu jk.....kwa watu makini wanamjua jk ni feki feki feki kabisa na haiingii akilini watu walimchaguaje...................ili kutatua tatizo lazima kulijua kwanza tatizo......watanzania wengi bado hawajui kwamba tuna tatizo kubwa kwa kuwa na huyu rais jk......hii ni shida kubwa sana tuko nayo na tulitakiwa kwa kweli kumpiga chini 2010.......

Watanzania tunatakiwa kujua kwamba maadui wetu wakubwa ni kuwa na viongozi kama jk....statements kama hizi zinatakiwa kuwa kwa front pages za magazeti yetu yote(mbona Kenya wanaweza???)..wenzetu wazungu inawauma kwa kuwa kodi zao ndio zinatumika kwa safari za jk....hili ni kweli kabisa....sisi bajeti yetu inategemea wahisani sasa jk anaposafiri pesa anatoa wapi??ni hizo hizo pesa...watanzania wala hawahoji.........inasikitisha sana sana.....majambazi waonekana wamekwiba fedha ya umma(e.g chenge et al na BOT na EPA cases) lakini wanaachiwa alafu jamaa jk linapita duniani linasema eti serikali yake ni ya utawala wa sheria...f'ck it....mijitu imekaa kula hela ya nchi....hakuna wa kumsema mwenzake...utawala mzima mijambazi mitupu.........f'cking country......

umelipwa posho kiasi gani?
 
Kazi kweli kweli... tukiongea sisi tutakula ban! anyway lawama zote zimrudie Jaji Makame na kiravu!
 
Raia mwema, usikurupuke! Je unaijua Sweden alikokwenda Kikwete? Hebu soma hii;

  • Sweden became the first country in the world to remove homosexuality as an illness.
  • In 1972, Sweden became the first country in the world to allow transsexuals to legally change their sex, and provides free hormone therapy, equal age of consent set at 15.
  • Sweden is considered to be one of the most gay-friendly countries in Europe and the world when it comes to laws surrounding homosexuality.
  • Sweden today is seen as the greatest campaigner of gay rights.
  • Sweden legalised same-sex sexual activity in 1944; in that year the age of consent became 18.
  • In 1987, a law against sex in gay saunas and prostitution was passed to mitigate the spread of HIV but was repealed in 2004.
  • In 1979, a number of people called in sick with a case of "being homosexual," in protest of homosexuality being classified as an illness.
  • The Swedish parliament voted to make same-sex marriages fully legal from 1 May 2009

Raia Mwema, FYI Uingereza hadi leo haijafikia huko.

jk yupo sweden au switzerland?
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

Du! This is really embarrasing. Hii response chini imeandika ma mtu mwingine kuendeleza anachosema Richard Brunwick....

LindaCroucher 26 January 2012 3:50PM

Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.

Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.

I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit
 
jamani mbona tunadanganyana sisi weusi gordon brown is no longer british premier and also he did resigned from a membership to the house of commons so how comes he's a chairperson at davos? This is the 5 years old story when mr. Gordon brown was premier of britain...

Keep us update ndugu yetu...

Kikwete anakwenda kila mkutano wa davos...
kwenye international conferences mtu yeyote anaweza kuwa mwenyekiti ili mradi alikwe na waandaaji naye aridhie kwa hiyo gordon brown kuwa mwenyekiti si ajabu kumbuka ni mchumi kwa fani
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
We need to cut you out of our community just like the way CANSEROUS CELLS are cut out of the body. Your way of analyzing things is your disease. I despise you and any one who thinks like you.
 
Wewe hamnazo kweli nenda kasome diplomasia za kimataifa jinsi matamshi hata ya raia wa kawaida yanavyoweza kuathiri mahusiano kama serikali husika haitatoka na kukanusha na kuomba radhi. kumbuka tukio la Julius Malema wa Afrika kusini lilivyomgharimu yeye na nchi yake alipoishambulia Botswana.

Kwa hiyo wewe hiyo diplomasia ya kimataifa uliyofundishwa ilikwambia kwamba Malema ni raia wa kawaida kama wengine?
 
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali
Yaah!! tulikataa kumshitaki Chenge kuhusu ule wizi wa rada.
 
Kuna kila dalili kwamba hiyo ni cooked comment iliyotengenezwa na mwana-JF ili ionekane inatoka kwa Waingereza!!! Kwanza hata ukiangalia profile ya huyo anayeitwa Brunwick unakuta ame-post mara moja tu; kuonesha kwamba ali-join kwa ajili ya kuja kumponda JK, basi!!! Likewise, hakuna jina la Brunwick kwa Waingereza....jina la Kiingereza linalofanana na hilo ni Brunswick!!! So, cook wa hiyo comment, aliamua kwa makusudi kutumia jina ambalo ni purely english name ili ionekane ni comment ya Mwingereza! kwa bahati mbaya, kwavile hili si jina maarufu sana huku kwetu, akaishia kuji-name Brunwick badala ya Brunswick!!!! Hata huyo anayejiita Linda Croucher nae inaelekea ni huyo huyo Brunswick fake.....baada ya kuandika na kuona no one commented kwenye post yake; akaamua ku-log in kama Linda Croucher ili aendeleze alichokianzisha!!! Kama mnabisha, wataalamu wa IT hebu chekini IP adresses za hao members wawili kama hamjakuta zinafanana!!! Na msishangae mkakuta ni posted from mitaa ya Kimara!
Duuuh! kazi ipo mwaka huu....Hebu soma sainecha yangu hapa chini kisha ifanyie kazi
 
However tackling the problem of corruption was still a "major issue", said Tanzanian President Jakaya Kikwete. "The first thing to fight against corruption is transparency," he said, adding that his country was now publishing all mining contracts as part of a new mining code. The best guarantee for an investor is transparency."

Photo below President Jakaya Kikwete holding a preparatory meeting with his delegations soon after arrival at the Davos Sheraton ahead of the start of the four day World Economic Forum held annually in the mountainous health resort.

dav2.jpg

Kwa gharama za nani?
 
nyerere naye walimtukana na kumdhiki alipotofautiana nao tumewazoea wauza rada kwa bei ya ulanguzi
Hypothetically if I will remain with Mama Porojo on the planet earth I will restrict from copulating because the world would be a better place habited by insects than human with this woman thread of DNA. You are disgrace to your being. I belive that your Genitalia will be the most dominant organ in your body. In most human beings the brain dominates
 
Pinda akiona Boss wake anayodharauliwa huko kwenye kuomba atalia:lol: ndio maana waingereza wanataka kumkameruni
 

Kwa wale waanaofuatilia mambo kwa karibu watakuwa wamegundua kuwa Davos 2012 imejikita zaidi na mambo ya Europian economic crisis. Wako wenzetu wamegundua hilo na wakaamua kula mzigo kama kawaida. i.e Kibaki, Kagame, Museven ect. Sisi sio tu tunawinda 'watu mashuhuri' bali pia tumekwenda kutoa darasa kuhusu uchumi! Nahisi kuna watu wanakunywa kususio cha damu ya simba maana yataka uwe na ujasiri wa hali ya juu kutoa darasa la uchumi huku ukiwa umeshika bakuli!
 
It is burning here..it feels like 3 annoyed Guidos,3 pissed Haitians,2 angry Jamaicans and 2 mexicans have been stuffed in a single heaty room with guns on their hands.JK has initiated a gang fight in JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom