ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,116
- 1,422
Sisi watumiaji wa hizi barabara za kuungia na kutoka daraja la kigamboni zimekuwa kero na za gharama kubwa kwa watumiaji wake hasahasa wageni wa njia hizi, askari wa usalama barabarani wamekua ndio sehemu zao za kutega camera ikizingatiwa kiwango cha speed zilizowekwa ni za chini sana, 30km/Hr.
Kwa asiejua mitego ya barabara hizi lazima anaswe, hebu fikiria unatoka zako 60km/Hr halafu ghafla inashuka mpaka 30, trafic wanajificha katika kona wanakulamba.
Mwanzoni wazo lilikua na nia njema, kwa sababu watu wengi walikua hawazijui njia na kuzuia ajali wakaweka speed hiyo, sasa hivi watu washakua wazoefu wa njia hizi.
Tuwaombe wahusika waondoe vibao vya 30 na waviache 60 sehemu zote ili tuondokane na kuvunja sheria kusikokua kwa lazima.
Tupunguzieni gharama za maisha ndugu zanguni (petrol,Luku, bill za maji, kodi ya nyumba, kifurushi, hospital, gari la taka, mchepuko.........)