Wahusika Tuambieni Ukweli Kuhusu Ndege Zetu Tanzania

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,437
Kwa Kweli Ni Jambo La Kusiktisha Sana Ninapofikiri Kuhusu Mustakabali Wetu Kama Taifa Lililo Huru Kwa Muda Mrefu Halafu Hatuna Ndege Za Kusafiri Kwenda Nje!!mara Nyingi Ninaposafiri Kwa Shirika La Ndege La Kenya Au La Ethiopia Au Emirate Huwa Najisikia Mnyonge Sana Na Sijawahi Kufurahia Safarini Maana Muda Mwingi Huwa Nakuwaga Ktk Msongo Wa Mawazo Nikifikiri Kwanini Isiwe Tanzania Kwani Tumekosa Nini Maana Kama Ni Suala La Abiria Sasa Hivi Tanzania Tu Kama Tanzania Tunao Abiria Wa Kutosha Achilia Mbali Abiria Wa Nchi Jirani Ambao Wangependa Kusafiri Kupitia Tanzania Kama Wamalawi Wazambia Warundi Waganda Wacongo Drc Sasa Jamani Watanzania Wenzangu Pamoja Na Nyie Wataalam Mnaojiita Wa Uchumi Hamuoni Kwamba Mngekuwa Na Usafiri Wa Ndege Wa Uhakika Tanzania Ingekuwa Ni Central Ya Biashara Ktk East Africa Angalau Wa Kwenda Dubai Dar, Hong Kong Dar, Guangzhou Dar,nasema Hivi Maana Najua Kwa Sababua Za Kiusalama Siyo Abiria Wengi Wanapenda Kusafiri Na Kenya Air Way Kwa Sababu Za Kiusalama Na Pia Kutokana Na Wizi Wa Mizigo Ambao Mara Nyingi Umekuwa Ukifanyika Nairobi Pls Wana Jf Embu Jengeni Hoja Za Maana Kuhusu Hilo Ili Wahusika Wajue,saidieni Nchi Jamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom