Wahusika hapa ni Tanroad au Halimashauri

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Imekuwa kawaida Tangu enzi kila mvua inaponyesha hizi sehemu zinasumbua sana.

Wahusika shughulikieni hizi sehemu kunusuru ajali na usumbufu mwingi kwa madereva wanaolipia road licence.

1. Mbele ya super star kama unatoka fire kwenda muhimbili (shimo kubwa linasababisaha foleni ndefu na ajali)
2. Tambaza , shule ya almtazir kunakuwa na bWAWA KUBWA linalosababisha magari kuzima au kuifanya hiyo njia isipitike
3. Kinondono makabulini shimo kubwa ajabu linasababisha ajali na msongamano mkubwa wa magari
4..

Waweza wakumbusha wahusika sehemu zingine zaidi
 
Nimepita muda si mrefu shimo la Kinondoni linashughulikiwa
 
Back
Top Bottom