love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,529
- 2,896
chama kikubwa ambacho kila uchaguzi kinashinda uchaguziMwamba alisha kubali matokeo
na kuibiwa kura kimeshindwa hata kumpambania mwamba.
Mwamba tuvushe... mlikuwa mnamnafikia
chama kikubwa ambacho kila uchaguzi kinashinda uchaguziMwamba alisha kubali matokeo
Huyu pia ana kesi ya kujibu.shahidi#01Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .
Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?
Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
mkuu achana na huyo kapuku , anakupotezea mudaMbona wewe ulifanya maandamano nchi mzima mwezi wa tatu?
😁😁😁😁😁mkuu achana na huyo kapuku , anakupotezea muda
kuwateketeza
Kuwamaliza wahuni maana yakeni Nini kwa uelewa wako?Ni opinion yako au hiyo ndiyo standard definition ya neno kuwamaliza?
sasa kama hata kiswahili hukijui basi sina la kukusaidiaNi opinion yako au hiyo ndiyo standard definition ya neno kuwamaliza?
Kuwa mpya anakupukutisha kama tawi la mti dhaifu unaonesha woga wako kwakejoined september 2021
Achana na maskini huyu muuza mayai mahakamaniHata ninge-join leo, hiyo haihalalishi ujuaji wako..
Acha ujuaji majibu ya maswali yako anayo polepole .
Nishamtupamkuu achana na huyo kapuku , anakupotezea muda
Wenzetu wa kutoka kule kiswahili kwao ni shida.sasa kama hata kiswahili hukijui basi sina la kukusaidia
Mungu yupo kazini na wote waliofanya uharamia watawajibishwa tuHuyu pia ana kesi ya kujibu.shahidi#01
Ebu hesabu moja hadi nambari tano kwanza ili tujue asili yakoNi opinion yako au hiyo ndiyo standard definition ya neno kuwamaliza?
Hana uwezo wa kukujibu hilo swali lako maana ni gumu sana kwa uwezo wake wa akiliKuwamaliza wahuni maana yakeni Nini kwa uelewa wako?
sasa kama hata kiswahili hukijui basi sina la kukusaidia
Kaongea yeye lawama twapewaje siye ?
Bahati nzuri Mungu wetu kaamua kuwamaliza wamalizaji wa wahuni kabla ya kuwagusa wahuniHumphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .
Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?
Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
Hivi hali ya kiafya ya Sabaya umeiona lakini ? tuombe sana MunguGaidi asifungwe sero moja na sabaya