luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Jeshi la marekani kamandi ya Africa imetoa taarifa ya kuwaua wanamgambo wa al shabaab wapatao 30 pamoja na kuteketeza kituo cha kujusanya mapato cha wahuni al shaabaab hakika hapa ni kongoleeee
Vijukuu wa mzee MudiJeshi la marekani kamandi ya Africa imetoa taarifa ya kuwaua wanamgambo wa al shabaab wapatao 30 pamoja na kuteketeza kituo cha kujusanya mapato cha wahuni al shaabaab hakika hapa ni kongoleeee
Hishma kidogo basi mkuu.