Dom wapi napata huduma pendwa? Nipo wiki ya 3 Sasa napishana na mashangazi tu. Nimefikia hapa Morena. Msaada tafadhali angalau nipunguze Ugwadu.Nimetoka Kula Leo Hapo Mda Sio Mrefu

Tena unaenda kutangaza au kuwaambia na wengine kuhusu huduma mbovu za sehemu husika Yaani...Shishi akifata ushauri huu biashara itamdodea Yani five minutes wahudumu hawakufati loh, mimi naondoka na sirudi tena hapo
Yote yanawezekana,inawezekana waudumu walikuwa na dharau au huyo mteja ndio mwenye matatizo.Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu
NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Aliyesema mteja ni mfalme hakukosea.Kama si kweli basi si nitaondoka kwenda kwa seller ambae ananipigia magoti na kuniabudi kisha wewe biashara yako inakufa?
Hiyo paragraph ya mwishoni imenichekesha sanaAisee wewe Acha kudanganya watu Kwa kusema eti akiondoka mteja mmoja anakuja mwingine, umewahi kujiuliza Kwa nini kwenye hotel nyingi dunia a repeating guest anakuwa treated kama VIP?
Ni Kwa sababu ya kanuni moja tu ya kibiashara kuwa alilidhika na huduma ndo maana akarudi na anauwezekano mkubwa wa kukuletea wateja wengine. Heshimu Sana MTU anaitwa mteja kwenye biashara.
Nasikitika kuona unaongea habari za biashara kirahisi Sana na bahati nzuri au mbaya umeitaja marekani, hakuna demanding guest kama American na Indian dunia nzima. Unless huko marekani wewe unafanya kazi kwenye home care ambako unasubiri wazee na matahira wajiharishie ukawasafishe, hapo kweli Una haki ya kusema akiondoka mmoja anakuja mwingine. Make watu wanazeeka kila wakati
Na akianza mteja mmoja husambaza habari kwa wote, shida wahudumu wengine wakiona watu huingiwa na byodo,Mimi hurudi sehemu hyo hyo kukiwa na huduma nzuri hata kama ni mbali sanaaTena unaenda kutangaza au kuwaambia na wengine kuhusu huduma mbovu za sehemu husika Yaani...
Wewe kua mteja sio tiketi ya abuse of your fellow human beings
Eti kwavile nauza products then mpumbavu kama wewe can come here and shit on me the way you want?
Over my dead body
Mkuu nikuhakikishie,hakuna turnover ya biashara yako unaweza ku-outdone me,I kill you day and night.
Huwezi niambia eti makampuni yana spend too much money to get one stupid client who is useless and with small purchasing power kama wewe?What are you smoking?
Kampuni inayofanya hivyo ndio maana zinakufa kama zako....
Principle ni kwamba kama price ya ku-pursue one client is too high kuliko anachonunua then you drop that stupid nigga....
Tanzania tunafeli kwa kukosa kua shrewd businessmen.
Nachojua nakushinda on everything...Sikujui hunijui,ila thinking yako inaonesha huna akili serious ya ku-run business kimdebwedo namna hiyo ndio maana umefeli
MkuuWewe kua mteja sio tiketi ya abuse of your fellow human beings

Go give charities..fvck you all!
Go give charities..fvck you all!
Mkuu wewe unachanganya mambo. Mleta mada kuna sehemu amesema aliwatendea vibaya wahudumu? Ku abuse human beings ni jambo jingine. Hapa hatuzungumzii mteja kudharau wahudumu, tunazungumzia wahudumu kuwapokea wateja wao kwa unyenyekevu. Kama mteja amepokelewa vizuri na mhudumu, halafu mteja analeta dharau au kashfa kwa mhudumu hapo sawa.Wewe kua mteja sio tiketi ya abuse of your fellow human beings
Eti kwavile nauza products then mpumbavu kama wewe can come here and shit on me the way you want?
Over my dead body
Mkuu nikuhakikishie,hakuna turnover ya biashara yako unaweza ku-outdone me,I kill you day and night.
Huwezi niambia eti makampuni yana spend too much money to get one stupid client who is useless and with small purchasing power kama wewe?What are you smoking?
Kampuni inayofanya hivyo ndio maana zinakufa kama zako....
Principle ni kwamba kama price ya ku-pursue one client is too high kuliko anachonunua then you drop that stupid nigga....
Tanzania tunafeli kwa kukosa kua shrewd businessmen.
Nachojua nakushinda on everything...Sikujui hunijui,ila thinking yako inaonesha huna akili serious ya ku-run business kimdebwedo namna hiyo ndio maana umefeli
Go give charities..fvck you all!
Shishi akifata ushauri huu biashara itamdodea Yani five minutes wahudumu hawakufati loh, mimi naondoka na sirudi tena hapo
Hujasema kama huyo mhudumu alikuwa M au F maana hao f wengine 'wakielewana' na boss ndiyo hivyo!Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.
Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri
The same kwangu pia maana niliketi more than 5 minutes wala sioni mhudumu, akaja badae sana tena kwa mwendo anaoutaka yeye.
Wakuu kama unamiliki biashara hakikisha customer care nzuri ni endelevu.
Tuache tabia kwamba ukishapata loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu.
Always remember to add value to your product and service.
Shishi ajifunze kwamba Customers always demand for more
Kuwahudumia wabongo first inabidi uwe Fala , second unatakiwa ufanye investment kubwa kwenye customer care , Tanzania customers are like wild animal, hawaangalii stuation wanajiangalia wao tuu
Achana nae choko huyo anajifanya matawi kumbe boya furaniMkuu wewe unachanganya mambo. Mleta mada kuna sehemu amesema aliwatendea vibaya wahudumu? Ku abuse human beings ni jambo jingine. Hapa hatuzungumzii mteja kudharau wahudumu, tunazungumzia wahudumu kuwapokea wateja wao kwa unyenyekevu. Kama mteja amepokelewa vizuri na mhudumu, halafu mteja analeta dharau au kashfa kwa mhudumu hapo sawa.
Pia kwanini una react sana? Kwenye comment yangu umeona kuna tusi lolote nimekutukana? Kwa jinsi ulivyo jibu comment yangu, inaonesha huwezi kufanya biashara na ikafanikiwa. Kama kitu kidogo hivi una react, vipi kama akija mteja ambaye stress zake? Utaweza kumhudumia?
Bosi wao mwenyewe kichwa chake kibovu, maneno mabovuJana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.