Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.
Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri
The same kwangu pia maana niliketi more than 5 minutes wala sioni mhudumu, akaja badae sana tena kwa mwendo anaoutaka yeye.
Wakuu kama unamiliki biashara hakikisha customer care nzuri ni endelevu.
Tuache tabia kwamba ukishapata loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu.
Always remember to add value to your product and service.
Shishi ajifunze kwamba Customers always demand for more