Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,291
- 2,466
Tumezoea Kuona Wahudumu Wa Bar Kwenye Bar Zetu Za Uswaz Kuwa Ni Wanawake Zaidi. Akiwepo Mhudumu Mwanaume Huko Basi Biashara Hainogi. Pengine Ukose Wateja Kabisa. Inapofikia Ngazi Ya Bar Au Hotel Yenye Hadhi Kubwa Utakuta Wahudumu Wa Kiume Kwa Wingi Na Hakuna Mwenye Kujali Hilo Zaidi Ya Huduma Iliyompeleka Pale. Hii Inaleta Picha Gani?