Wahubiri acheni kutumia udhaifu wa waumini wenu kama silaha ya kuwatumikisha mtakavyo

The Gold

JF-Expert Member
Jul 13, 2017
435
2,477
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
046db1f9b4a95d8758182e4c7ae672e7.jpg
 
Dini zimejaa unafiki sana na wajinga ni wengi sana kama hao inatakiwa bwege kukuhubiria aruhusu kabisa na kuhojiwa siyo aanze kukuletea vitisho vya kipumbavu pole wenye imani zenu
 
kati ya nyakati za kuwa makini na makanisa ni sasaivi, wengi ni wafanyabiashara tu na waganga wa kienyeji, maajenti wa shetani, wanywa pombe na wazinzi. hata hivyo, mti ulio bora huwa unadumu ule wa kugushi huwa unakuja kujidhihirisha muda si mrefu, na hutambulika kwa matunda yake.
 
Sasa sisi wanywa whisky tumeingiaje hapo.
 
Haifai.

Muangalie huyo Dogo wa Kike nyuma alieketi amevaa Buluu juu.

Haamini anachokiona Mikono yake ameiweka Kichwani mwake kwa kustaajabu anayoyaona
 
Back
Top Bottom