Wahofia Uamuzi wa TCU Kushusha Alama za Ufaulu Udahili Vyuo Vikuu

Naisoma360

JF-Expert Member
Jan 23, 2015
820
491
14316949_1192303950834061_880793757700591904_n.jpg
 
Wameshusha hivyo viwango vya kuingia chuo kwa diploma tumeshukuru lakin sasa swala la mkopo likoje hapa watatoa nafas tena watu wa diploma wajaze mkopo, afu wamepunguza viwango wakat wale waliokua na viwango mwanzon had sasa majibu hawajapata afu wamesema mwisho tarehe 23 wakat je hao watakao kosa watapewa tena muda wakurudia kuapply tena kwa mara nyingine na ni lin
 
Watatoa utaratibu
 
Si kwamba wanaihofia wanaviwango gani unaweza kua na gpa ya 5 kutokana na machaguo yako mtu akakosa chuo hivyo kibusara wangetoa majina ya selection za diploma badae wangeweka second selection kama walivyofanya kwa form six, hapo haki hakuna
 
Hao Wanaohofia GPA kufanywa 3.0 badala ya 3.5 wanafahamu lakini Nini Maana Ya GPA??
Je Wamewahi Kupita Angalau Chuoni?? Manake Siamini Kama Kuna Msomi Anaeweza Sema GPA ya 3.0 eti inashusha Elimu! Ridiculous....

Wamejitokeza Baada Ya Kushushwa Kutoka 3.5 mpaka 3.0! Mbona Hapo Mwanzo ilipokuwa 2.7 hawakuwahi Kulalamika Kuwa iongezwe???
Hii Ni "Conspiracy Theory" Ya Wazi Kabisa Manake Sijui Mijitu inawaza Nini??
 
fact
 
Kupata hiyo gpa 3 kwa waliopita chuoni c mchezo mana ni b plane hofu ipo hapo yawezekana kwa wenye diploma kusiwepo na second round ya selection kwa waliokosa
 
Kweli kabisa King Ngwaba sijui mijitu inawaza nini.
hivi prof yunus mgaya hakufanya haya madudu......... iweje uyu wa necta prof mwageni kuleta vigezo ambavyo havitambuliki dunia nzima wanajua principal nI E-2.......'WHEN THE SOLUTION IS SIMPLE,GOD IS ANSWERING"..............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom