Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,532
Hii imetokea this week kuna Rafiki yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advance mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM
mimi baada ya kumaliza Olevel nikaenda kusomea course fupi fupi tofauti za mashine Opreratots, pale Bandari college nkasomea,
~ Fork lift operator (3 tone~10tone)
~ Reachstracker operator
~SSG(Ship to shore Gantry Crane)Operator
Then baada ya hapo kuna ndugu yangu akaniconect na chuo kimoja kipo South Africa nkaenda kusomea Crane operator, then baada ya hapo nkala shavu kampuni moja ya wazungu hapa tz kama crane operator.
Sasa huyu shoga yangu last week akanikuta site moja hivi nlikuwa nashusha heavy equipments, yeye alikuja kama mkaguzi na ameajiriwa Goverment, baada ya kuniona akacheka kinafki alafu kilichoniskitisha ni pale aliponiambia kuwa shoga yangu laiti ungesoma usingekuwa unateseka na michuma mda huu.
Ikanibidi nicheke kwanza nikajiuliza huyu mtu amepata wapi huo ujasiri maana yeye ana bachelor na mimi nna vyeti vya kawaida tu, lakini hata mshahara wangu sijui kama ananipita maana mimi naendesha na kuoperate Crane ya 90tons (90,000kg)
Na basic salary yangu ya kuoperate hii crane ni 2.8 million/month hapo bado overtime na nyongeza nyingine lazima niondoke na 3.0m hadi 3.5m kwa mwezi na nna mkataba wa kudumu kabisa.
Sasa huyu shogaangu sijui analipwa sh ngapi hadi kunizarau vile... Tu imagine analipwa
1.5million/month.. Toa HELSB+PAYE+NSSF+NHIF =take home 800,000
then ananinizarau mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app