Wahitimu wa Vyuo tuache kulalamika

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
202
500
Anachoongea mdau ni kweli kabisa, Mimi ni Muhanga, baada ya kuacha kazi (Nilikuwa sijui kichapo cha mtaani) ili nigharimu almost mwaka na nusu mtaani natafuta kazi,hapo nina mke na mtoto alafu hata hela ya sukaar huna,
,
Baada ya kichapo cha kutosha hapo nimesha piga mizinga paka aibu, baadae nikakaa chini kutafakari nilipokosea, Baada ya kufanya critical analysis nikagundua nina mapungufu maeneo makuu mawili, la kwanza NIPO MBALI SANA NA MUNGU, la pili CV YANGU HAIJIUZI.

Baada ya kugundua hayo ikabidi nichukue hatua, kwanza nikaanza kumtafuta MUNGU, Pili nikaomba washkaji zangu wawili wantumie CV zao ili niangalie iliwezekana ni edit nitengeneze yangu, ebwana eeh hapo ndo nilipochoka, zile CV za jamaa yani hata ile yangu ilikuwa na afadhali,

Basi nikaamua kutengeneza CV yangu mimi kama mimi bila kuiga mahali, nikaiita New Era. Asikwambie mtu,haukupita mwezi nikaanza kuitwa kwenye interview, Nilipo gonga ya kwanza tu hapo hapo wakanipa kazi tena na mshahara mkubwa tu na ahadi kedekede, Sjakaa vizur nikapigiwa tena na taasisi ya serikali nikagonge interview, nikapiga baada ya siku tatu wakanipigia kuwa nimepita kwaiyo nikaripot kazin, wakati huo nlikuwa nimeshaanza kule kwa mwanzo,

Basi nikapiga pale mwez nikaacha nikaenda kule serikalin ila roho iliuma sana kuacha kaz ya mshahara mzur vile.Basi nikiwa serikalin nako nikapigiwa tena na kampun kubwa tu ya kimataifa ya mafuta niende kwenye interview, Hiyo sikuweza kwenda sababu nilikuwa tayar kazini alaf mkoani.

Kwaiyo nlichojifunza ni kuwa ukiona upo kitaa muda mrefu hupati kazi, Basi angalia vizur haya maeneo matatu huenda moja linashida. MAHUSIANO YAKO NA MUNGU, CV YAKO, UWEZO WAKO KUJIELEZEA KWENYE INTERVIEW.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
733
1,000

HUNA TOFAUTI KUBWA NA MIMI

MIMI INTERVIEW NAZIKIMBIA MWENYEWE ....MWEZI UJAO KUNA MAKAMPUNI YA MAFUTA NA GESI NAHITAJIKA KWA INTERVIEW ,NA HAPA NIPO KAZIN MZUNGU ANANIANDAA KUSHIKA NAFAS YA JUU KWA UPILI....

Rafiki zangu wao kulalanika tu, hata SITES za kutafutia ajira hawazijui
 
Aqua Man

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
289
1,000
Nmeznguana na mtu hvyo, timeline yako imefika Mkuu usione wenzio ambao hawajapata wazembe. Umezungumzia kuitwa kwny interview ushajiuliza ww kada gani na wenzio ni wa kada gani.. kamuulize mtu wa legal kuitwa kwny interview lini au engineering.. mkipata mnajikuta wajuaji sana fucken
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom