Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau habari zenu?
Kuna habari nimeipata FB kutoka Kwa mdau mmoja anasema gazeti la habari leo limeandika kwamba walimu wa Sanaa na biashara 7476 watahamishiwa shule za msingi kutokana na idadi kubwa ya walimu hao.
Sasa kama hii habari ni kweli ina maana wale waliokua wanasubiri ajira za ualimu wa Sanaa na biashara ndo basi tena wamekula hasara hela walizotumia kusoma na muda waliopoteza,
Serikali itawapeleka watu hawa wapi manake suala la kujiajiri kwa mwalimu wa arts ni ngumu ukizingatia na utawala huu kila kitu kigumu hata ukipata kihela chako ufanye biashara TRA wanakutolea macho kwa utitiri wa kodi.
Hatari sana