Wahitimu wa Fani mbalimbali nchini wafaidika na Huduma Mpya ya Nafasi za Kazi

Mi nimetumia hii service na pia natumia service nyingi zinazoletwa na maendeleo ya kiteknolojia duniani. Dhima ya huduma kama hizi ni ku-extend the reach of available services that are using classical methods. Mimi silaumu ila ni ukweli ulio wazi kwamba watanzania hatupendi kuchangamkia fursa za kutuletea maendeleo aidha kwa sababu ya aina ya elimu tunayopata au mazingira. Ntatoa mfano wa Mpesa, Kenya mpesa is undispensible service, kila mtu anatumia mpesa kwa shughuli za kibenki pamoja na kununulia mahitaji, matokeo ni watu wengi wamepata ajira kama ma-agent na mafoleni yamepungua kwenye benki na vituo vya kutoa huduma. Hapa kwetu hizi huduma bado zipo chini kwa ajili ya tatizo letu la msingi kabisa, we are not technology savy.
Kumbuka, hauwezi kubadili maisha yako ndani siku moja bali unaweza kubadili uelekeo wa maisha yako ndani ya siku moja.
 
Tatizo tanzania utapeli umezidi ndio maana inakua ngumu kumshawishi mtu hata kama issue ni ya kweli.
 
Akili kumkichwa bana. Kila mbuzi atakula sawa na urefu wa kamba yake. Wewe mwenye kutafuta kazi utamlipa na pia kampuni husika atakayokutafutia kazi atalamba mshiko. habari ndiyo hiyo
 
Back
Top Bottom