Wahitimu wa Fani mbalimbali nchini wafaidika na Huduma Mpya ya Nafasi za Kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahitimu wa Fani mbalimbali nchini wafaidika na Huduma Mpya ya Nafasi za Kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by justdoit, Sep 15, 2010.

 1. j

  justdoit Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kutokana na Urahisi wa Huduma hii ya Nafasi za Kazi wahitimu wa fani mbalimbali Tanzania wamejikuta wakichangamkia nafasi za kazi zinazotanganzwa na makampuni kabla hata ya kutangazwa kwenye magazeti. Hali inayowafanya kuwa mbele ya mda katika soko la ajira lenye ushindani mkubwa.  Kujiunga ni Rahisi Sana !

  Unatakiwa kuandika neno KAZI( acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotafuta halafu utume kwenda 15522.

  Mfano: Kama unatafuta kazi ya MARKETING andika KAZI MARKETING na utume kwenda namba 15522.

  Punde utaanza kupokea nafasi za kazi uliyoomba. Kujitoa Andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na neno ONDOA na utume kwenda 15556.

  Ukitaka kupata kazi bila kujiunga andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na herufi S (acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotaka na utume kwenda 15522. Mfano: KAZI S MARKETING na kutuma kwenda namba 15522.

  Gharama ya kujiunga(ambayo hutozwa mara moja) ni shilingi 250 tu pamoja na VAT, na kila kazi utakayotumiwa utachajiwa shilingi 150 tu pamoja na vati.

  Masharti na vigezo kuzingatiwa.


  Baadhi ya Nafasi za Kazi zilizopo:

  Accountant
  HR
  Public Relations
  Journalism
  Business Administration
  Social Science
  Cashier
  Finance
  Banking
  Graphic Design
  Nursing
  Doctor
  Clinical Officer
  Electrical Engineer
  Electrical Technician
  Electrician
  Auto Electrical
  Mechanical Engineer
  Mechanical Technician
  Auto Mechanics
  Civil Engineer
  ICT
  Chemical and Processing Engineer
  Driver
  Secretary
  Typist
  Office Attendant
  Receptionist/Customer Care
  Sales and Marketing
  Administration
  Public Administration
  Teacher
  Sociology
  Social Work
  Printer

  Na nyingine nyingi.
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hio huduma nilijaribu ni feki tu.hamna kitu
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  lakini kwanini mnawacharge? si wizi tu huo
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Watangazaji wa huduma za kazi ingefaa walipwe na makampuni yanayohitaji hao wafanyakazi, sio watafuta kazi.

  Tutajuaje kwamba kuna kazi za kutosha kuhalalisha malipo haya? vipi kama kuna kazi mbili kwa siku zinatoka na wateja 10,000 wanatumia huduma hii kwa siku? Hili litakuwa sawa? Hii itakuwa biashara au kanyaboya?

  Tunataka huduma zenye kusaidia watafuta kazi na waajiri, sio ujanja ujanja wa kujitengenezea fedha haraka bila kufanya kazi.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  another way of squeezing Tanzanians out to their bones
   
 6. K

  Kijana Mkweli Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni uwizi wa kisasa...matangazo ya aina hii yapo mengi hapa mjini tafadhali serikali tunaomba muingilie kati na kuchukua hatua.
   
 7. j

  justdoit Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "Nobody has monopoly of Ideas" this is 21st Century
   
 8. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wizi mtupu
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Tanzania tunahitaji some sort of "Better Business Bureau".
   
 10. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  "Better Business Bureau"! Hapa inabidi ufafanue kinaganaga, kuna watu wa aina mbalimbali kwenye jukwaa hili, hata wasukuma wanaosoma kiswahili kwa shida sana kama "a-li-ku-ja" wamo, ila inabidi nao wakuelewe sababu yaweza kuwa watoto wao wamesoma wanasigina soli ya kiatu mtaani mda huu!
   
 11. k

  kombe jr New Member

  #11
  Sep 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ni kweli fursa za ajira Tz leo zinapatikana kwa njia hiyo. Nafikiri ako ni kamradi ka mtu tu. Ajira bongo sasa hv depends on who u knw na co kwa kutumia...!
   
 12. Davis

  Davis Member

  #12
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hukana kitu hapo
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mkono mtupu haulambwi!
   
 14. j

  justdoit Member

  #14
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi mnadhani mtu kuwa ma-critics ndo maendeleo au uelewa? Hata kama Idea ni nzuri huwa mnatoa mawazo ya kui-discourage...
  Just yesterday tumepokea testimony kwa watu watatu wamepata kazi kwa kutumia huduma hii...mnaona hiyo TZS 150 mtu anachajiwa ni kubwa sana na tunafaidi kuliko kazi atakayopata. Hamuoni hizo kamari zinazochezwa kwenye simu kila siku na watu wanapoteza maelfu ya shilingi bila mafanikio? Just yesterday we received three testimonies kutoka kwa watu ambao wamepata kazi kwa kutumia huduma hii.

  Badilikeni... This service is not politics or gambling. It's legal business that's why you subcribe to it if you are impressed and you can unsubscribe anytime you wish to.
   
 15. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #15
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAZImobile:
  Hakuna kazi mpya kwa sasa ,utatumiwa ujumbe wa nafasi za kazi ya ICT ndani ya muda mfupi.

  kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!:confused2:
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  sio wezi tu wauwaji wakubwa hawa mtu ana kazi unamchaji si bora umkope akipata aje kukulipa akuna tofauti na yuda eskariot hawa watu tuwe makini
   
 17. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mimi naona huo ni kama wizi,hiyo huduma nimewahi kutumia hakuna lolote,tufike sehemu tuache kuibiana.
   
 18. a

  affishe New Member

  #18
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ooooooo!!!!!!! Kweli huu ni Usaniii babkubwa.Lakini it is Ok,Jamaa hawa siyo wavivu wa kufikiri,maisha ni mapambano,nao wanapambana kihivyo.
   
 19. k

  kanyengere New Member

  #19
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :lol: mamaaaaaaaaa!!!!, kupata kaz kwa staili iyo, hapo huwezi kunishawishi
   
 20. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #20
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ic jamaa wamenitumia nafasi za kazi...guys changamkeni ,inasaidia kimtindo!
   
Loading...