Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

sio practical tu bali kila kitu katika idara nzima ya taaluma dit wako juu kuliko wahitimu wote kutoka chuo chochote cha engineering hapa tanzania,big up dit!

watu toka dit hawafuati mgawanyo wa kazi? Wao wako fiti kweye:-
design, research, project, implementation ni engineer gani mwenye uwezo wa kufanya hayo yote? Kwa semister zetu hizi zenye miezi nne na kozi 10 adi 13,
naona hujua na hutambui dhumuni la walioleta engineering duniani
 
Back
Top Bottom