Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

Jiang Yang

Senior Member
Jul 18, 2012
182
111
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?
 
Hili limeongelewa sana humu fanya search. Kwa kifupi hakuna michango ya maana maana kila wa UDSM anaona ametukanwa ukisema hivyo, tunakosa discussion ya maana.
 
sote tunaelewa hajatukanwa mtu hapo,,,sio mbaya ukitoa msimamo wako kuwa NI KWELI/SI KWELI? toa na sababu
 
Kwangu, naamini kuwa kwa yeyote aliyafaulu be it DIT, MTC/MIST au Arusha Tech yupo juu practically kuliko aliyeko UDSM FoE/CoET ambaye bado yuko masomoni na hakupita DIT wala MTC/MIST wala Arusha Tech. Vile naamini aliyemaliza DIT, MTC/MIST au Arusha tech halafu akapita UDSM (Engineering) anakuwa yuko fit zaidi kuliko aliyeishia FTC. Sasa kiboko ya wote hao ni sisi tuliopitia shule hizo zote hapo juu ila tulianzia eidha Ifunda, Tanga, Mtwara, au Mazengo tech (technical schools) za wakati huo.
 
Mkuu mbona umetunyanyapaa tulioanzia The Great Moshi Technical Secondary School ikiwa chini ya Headmaster Eugen Malale, second Master Kassenge (Bob Senge) na them killers Munuo, Mboya, Mpande et el?
 
Mkuu huo ndo ukweli kwan kipind nikiwa diplomaa dit mwaka wa pili nilikutana na jamaa wa ud akiwa degree mwaka wa 2 nae 2po field 1 hajui hata kusoma ramani ttizo ud wanajiona sana na wakati kuna mainginia waukweli 2 kutoka vyuo hivyo vya fund
 
vilaza mna shida kweli, acha kufanya conclusion za kijinga hivyo.
 
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?

hapo kwenye red unataka kusema nini? practical gani unazisema? Hata kama mko nondo, then unataka tufanyeje?
 
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?

uzushi....acha kujipa moyo
 
Hili limeongelewa sana humu fanya search. Kwa kifupi hakuna michango ya maana maana kila wa UDSM anaona ametukanwa ukisema hivyo, tunakosa discussion ya maana.

mnajipa moyo lazma ulichemsha six ndo maana hukusoma ud
 
Mkuu huo ndo ukweli kwan kipind nikiwa diplomaa dit mwaka wa pili nilikutana na jamaa wa ud akiwa degree mwaka wa 2 nae 2po field 1 hajui hata kusoma ramani ttizo ud wanajiona sana na wakati kuna mainginia waukweli 2 kutoka vyuo hivyo vya fund

we c ulifel form six ndo maana ukapitia elim ya kuunga unga mtaala wa diploma haufanan na ndo maana hata ukimchukua mwanafunzi wa degree ya udr mwaka wa 3 na mwanafunzi wa dipl mwaka wa2 wa dip anaweza kutibu wakat wa degree hajui hata asp inatolewaje
 
Kama kweli tunataka kuwa wavumbuzi wa system mbalimbali, ni lazima tuwe fit katika THEORY. Kama tunataka tufanye transformation ya mambo tunayosoma darasani into real working systems, ni lazima tuwe fit katika PRACTICAL. Kwa hiyo, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kujitokeza hadharani kama hapa JF na kujivunia kuwa yupo fit katika kimojawapo; syllabus za vyuo hivyo viwili (DIT na UDSM) zinaelekeza ujuzi katika maeneo yote ya theory na practical.

MATOKEO
Kama mtu atakuwa na theory halafu akakosa practical ya kutosha, atakuwa anasumbuliwa na msukumo wa kujua jinsi mambo aliyoyasoma vitabuni yanavyokuwa implemented. Anaweza kudhalilika kazini kwa muda mfupi, lakini huyu ana nafuu zaidi kwani ana nafasi ya kujifunza bila kurudi darasani, na akijua practical anakuwa mzuri zaidi na kuweza kuvumbua teknolojia mpya ili kuboresha systems.

Kama mtu atakuwa na practical halafu akakosa theory, atakuwa ana kikomo cha ufanyaji wake wa kazi; atakuwa mzuri kwa existing systems lakini hataweza kufanya uvumbuzi wa teknolojia mpya ili kuboresha systems. Silaha yake zaidi itakuwa ni kazi iliyopo mbele yake, na ili aweze kuwa mtu wa Teknolojia, atalazimika kurudi darasani kuongeza maarifa, na mara nyingi atalazimika kwenda katika training/short courses mbalimbali, vinginevyo atapitwa na wakati (obsolete).

Kwa hiyo, kuwa fit katika vyote ni bora zaidi, ila kama rasilimali haziruhusu kujua vyote, basi mimi binafsi ningechagua kwenye THEORY zaidi, kwani kwa mtu aliyekwisha hitimu na kuondoka chuoni, practical ni rahisi kujifunza (kazini) kuliko kujifunza theory (kurudi darasani)!

NB: Bahati nzuri nimepita kote huko; Iyunga, MIST, DIT na UDSM
 
we c ulifel form six ndo maana ukapitia elim ya kuunga unga mtaala wa diploma haufanan na ndo maana hata ukimchukua mwanafunzi wa degree ya udr mwaka wa 3 na mwanafunzi wa dipl mwaka wa2 wa dip anaweza kutibu wakat wa degree hajui hata asp inatolewaje

hapo ndipo wengi panawapa shida, hivi inawezekana kweli mtu alishindwa kuelewa Algebra na Coordinate Geometry na akapata S au F, leo anawezaje kuwa fit kwenye hiyo anayoiita practical?
 
Mkuu mbona umetunyanyapaa tulioanzia The Great Moshi Technical Secondary School ikiwa chini ya Headmaster Eugen Malale, second Master Kassenge (Bob Senge) na them killers Munuo, Mboya, Mpande et el?
\
Nisamehe mkuu, lakini Moshi Tech nayo imo kwenye list. Ni kupitiwa tu
 
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?

hilo ndio tatizo la mafundi mchundo!!!UDSM IKO JUU TUU KUBALINI MKATAE UKWELI UTABAKI PALE PALE!
 
ha ha ha. DIT mnajidanyanya. ni practical gani zinazowafanya muwe juu. Kwanza DIT hamproduce real engineers.

UDSM tupewa Bachelor of science in engineeering while in dit bachelor of engineering . hivi ni vitu viwili tofauti. Our

carriculum is heavy and practical. Tukizungumzia lab kubwa kabisa tanzania ni hizi:

-MECHANICAL LAB- namba moja ni udsm( kila testing ya meh.equipment nchi hii inafanyika pale na wanafunzi kwa

kiasi kikubwa wanafanya hizo.) hakuna kiwanda wala institution yenye lab kubwa kuliko hizi nchi hii

-ELECTRICAL LAB - HIGH VOLTAGE LAB( UDSM ranked number 1 in east africa)
-ELECTRICAL MACHINES LAB(Number 1 in TZ)
-POWER ELECTRONICS LAB( Number one in TZ
)

-CHEMICAL ENGINEERING LAB- kwa tanzania hii ndo maabara ya kuaminika, kabla ya kuletwa maabara ya mkemia mkuu, majaribio yote NCHI HII yalifanyika UDSM.Na hizi ni kwa ajili ya wanafunzi na matumizi ya ndani ya nchi

-CIVIL ENGINEERING LAB- udongo WA kila barabara unayotembea we kilaza wa DIT unapimwa kwenye lab hii.

-ELECTRONICS LAB- ( NUMBER 1 IN ALL INSTITUTION IN THIS COUNTRY)

-COMPUTER LAB- NI OVIASI HAKUNA CHUO HAPA TANZANIA CHENYE COMPUTER NYINGI KUZIDI UDSM
.
NISIWAANDIKIE GAZETI- IN PRACTICAL SENSE NO OTHER INSTITUTION HAVE QUALITY LABS AND EQUIPMENT THAN UDSM.
kusoma ramani its not a technical aspect- UDSM IS THE CORE OF TECHNOLOGY IN THIS COUNTRY
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Chuo kikuu kazi yake kubwa inatakiwa iwe kufundisha (namna) 'kufikiri'.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom