MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,482
- 8,693
Hii nchi wanaoifaidi huenda hata laki 1 hawafiki kati ya watu milion 60.
Graduate wanaimbiwa wajiajiri, utasikiwa majukwaani, utasikia Bungeni kwamba vijana wajiajiri.
Lakini mtu kawa mbunge huyu kajijenga sana sana ila baada ya kukosa ubunge anapigwa teuzi, kijana wanabakia kuambiwa wajiongeze.
Mtu alikuwa kiongozi fulani alisha jijenga sana lakini huyu anasubilua ateuliwe na kweli anateuliwa.
Vijana wana pambana chuoni wakimaliza wanaambiwa wawe Wajasiriamali.
How come vijana wa vyuo wao wajiajiri wakati wengine walio kwisha kula wanaongezewa tena?
Gradute ni wakati wa nyie kuamka kudai chenu, hili swala la kuambiwa mjiajiri likataeni kwa kila namna.
Yaani hatujawahi kuwa na Kiongozi Seriouse baada ya Nyerere tuna bahati mbaya sana.