Wahitimu kataeni kuambiwa mjiajiri wakati wengine wanapewa vyeo

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,472
8,689
Hii nchi wanaoifaidi huenda hata laki 1 hawafiki kati ya watu milion 60.

Graduate wanaimbiwa wajiajiri, utasikiwa majukwaani, utasikia Bungeni kwamba vijana wajiajiri.

Lakini mtu kawa mbunge huyu kajijenga sana sana ila baada ya kukosa ubunge anapigwa teuzi, kijana wanabakia kuambiwa wajiongeze.

Mtu alikuwa kiongozi fulani alisha jijenga sana lakini huyu anasubilua ateuliwe na kweli anateuliwa.

Vijana wana pambana chuoni wakimaliza wanaambiwa wawe Wajasiriamali.

How come vijana wa vyuo wao wajiajiri wakati wengine walio kwisha kula wanaongezewa tena?

Gradute ni wakati wa nyie kuamka kudai chenu, hili swala la kuambiwa mjiajiri likataeni kwa kila namna.

Yaani hatujawahi kuwa na Kiongozi Seriouse baada ya Nyerere tuna bahati mbaya sana.
 
Mkuu huo ndo ukweli hautakiwi upingwe mkuu.

Hakuna mkataba ambao ulijazwa kwamba ukigraduate tu serikali ikuajiri,hakuna mkataba huo zaidi ya maneno ya hapa na pale.

Ukweli mchungu ni mzuuri kuliko uongo mtamu.

Tuamke vijana tupambanie maisha kwa kila namna ya halali.

Hii mnayoitaka sasa hivi ni serikali iajiri watu kwa sababu wamemaliza na sio iajiri watu kwa sababu inawahitaji.
 
We vipi? Unajua tofauti kati ya AJIRA NA CHEO au unasema tu kufurahisha kambi? Sidhani kama kuna Graduate mwenye akili timamu atachukua ushauri huu wa kichochezi na unaotaka kuwasotesha wasomi mitaani millel dumu na kuwaingiza kwenye Umasikini KAMA SIYO UFUKARA wa milele.
 
Mkuu huo ndo ukweli hautakiwi upingwe mkuu.

Hakuna mkataba ambao ulijazwa kwamba ukigraduate tu serikali ikuajiri,hakuna mkataba huo zaidi ya maneno ya hapa na pale.

Ukweli mchungu ni mzuuri kuliko uongo mtamu.

Tuamke vijana tupambanie maisha kwa kila namna ya halali.

Hii mnayoitaka sasa hivi ni serikali iajiri watu kwa sababu wamemaliza na sio iajiri watu kwa sababu inawahitaji.
Na wewe ni kijana pia?
 
Hii nchi wanaoifaidi huenda hata laki 1 hawafiki kati ya watu milion 60.

Graduate wanaimbiwa wajiajiri, utasikiwa majukwaani, utasikia Bungeni kwamba vijana wajiajiri.

Lakini mtu kawa mbunge huyu kajijenga sana sana ila baada ya kukosa ubunge anapigwa teuzi, kijana wanabakia kuambiwa wajiongeze.

Mtu alikuwa kiongozi fulani alisha jijenga sana lakini huyu anasubilua ateuliwe na kweli anateuliwa.

Vijana wana pambana chuoni wakimaliza wanaambiwa wawe Wajasiriamali.

How come vijana wa vyuo wao wajiajiri wakati wengine walio kwisha kula wanaongezewa tena?

Gradute ni wakati wa nyie kuamka kudai chenu, hili swala la kuambiwa mjiajiri likataeni kwa kila namna.

Yaani hatujawahi kuwa na Kiongozi Seriouse baada ya Nyerere tuna bahati mbaya sana.
Wazo zuri, haohao wanatoka mzumbe, kusomea uongoz, utawala wanafanya deiwaka, wakat wasiosomea hayo wanapeta, kisa wametengeneza majina.
 
Kwenye kile kikao cha rais na vijana kuna mshikaji flan hv bonge alisema vijana Someni lakini mkijua serikalini hakuna kazi, bc rais nae akakubali kwa kutingisha kichwa
 
Back
Top Bottom