Wahisani wasaini kuichangia serikali bilioni 840/-

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wadau wa Kimataifa wa maendeleo nchini wametia saini kuchangia katika bajeti ijayo ya Serikali dola za Marekani milioni 562 (zaidi ya shilingi bilioni 840/- za Kitanzania).

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo katika mkutano wa pamoja kati ya Serikali na wadau hao uliofanyika katika hoteli ya St. Gasper, nje kidogo ya mji wa Dodoma, alisema kwamba kiasi hicho cha fedha ni zaidi ya kilichotolewa katika bajeti inayomalizika ya mwaka wa fedha 2010-2011, ambapo wadau hao walichangia shilingi bilioni 812/-
Benki ya Dunia na Umoja wa Ulaya (EU) wametoa jumla ya dola za Marekani milioni 109.
Nchi za Uholanzi na Uswisi hazijatoa fedha kuchangia bajeti hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za msukosuko wa kiuchumi duniani.
Uholanzi na Uswisi zimesema pamoja na kutochangia moja kwa moja bajeti ya Serikali, zitaendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali.
Wadau waliochangia bajeti ya Serikali ni nchi za Canada, Denmark, Finland, Ireland, Japan, Ujerumani, Norway, Sweden, Uingereza, Umoja wa Ulaya (European Union - EU) pamoja na Benki ya Dunia (World Bank - WB) na Benki ya Afrika (Africa Development Bank - AfDB).
 
it is estimated that tax exemptions cost tanzania economy 660 billin tzs a year. If tz gvt decides to abolish tax exemptions we could definetely avoid donar dependance altogether.
 
Wadau wa Kimataifa wa maendeleo nchini wametia saini kuchangia katika bajeti ijayo ya Serikali dola za Marekani milioni 562 (zaidi ya shilingi bilioni 840/- za Kitanzania).

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo katika mkutano wa pamoja kati ya Serikali na wadau hao uliofanyika katika hoteli ya St. Gasper, nje kidogo ya mji wa Dodoma, alisema kwamba kiasi hicho cha fedha ni zaidi ya kilichotolewa katika bajeti inayomalizika ya mwaka wa fedha 2010-2011, ambapo wadau hao walichangia shilingi bilioni 812/-
Benki ya Dunia na Umoja wa Ulaya (EU) wametoa jumla ya dola za Marekani milioni 109.
Nchi za Uholanzi na Uswisi hazijatoa fedha kuchangia bajeti hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za msukosuko wa kiuchumi duniani.
Uholanzi na Uswisi zimesema pamoja na kutochangia moja kwa moja bajeti ya Serikali, zitaendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali.
Wadau waliochangia bajeti ya Serikali ni nchi za Canada, Denmark, Finland, Ireland, Japan, Ujerumani, Norway, Sweden, Uingereza, Umoja wa Ulaya (European Union - EU) pamoja na Benki ya Dunia (World Bank - WB) na Benki ya Afrika (Africa Development Bank - AfDB).

Interesting how Mkullo anaongea fedha nyingi kuliko mwaka jana. Financial year 2010/11 wafadhili waliotoa around 745 billion. Hata hivyo exchange rate wakati wa kufanya plesges za 2010/11 zilikuwa tofauti ukulinganisha na sasa. kwa hiyo uki-convert $$$ into Tshs zinaonekana nyingi but in actual sense thamani yake ni ndogo.
 
nchi makini lama marekani ama uingereza ni lazima wazira wa fedha anakuwa ni mtaaalamu wa uchumi huku kwetu afrika uwaziri si lazima uwe una elimu ya unachokisimamia
 
Back
Top Bottom