Think Tank
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 233
- 25
!+!=?
Wakiondoa fungu lao tutaweza kulipa Dowans? Au unataka nchi ipigwe mnada, usishangae mikoa ya Arusha, Mara na Kilimanjaro zikaangukia Kenya kama nchi itafilisiwa.
kwa hili mkulo ajiuzulu , mtu mzima kudanganya c issue ila ukibainika ni noma , ajiuzulu c ni yeye aliyeiwasilisha imf na bungeni . Ila kabla ya kutwambia ameonewa sana amefadhaika sana atuambie ipi original na ipi kanyaboya .
Hivi hii ilifanyika kwa makusudi au kwa bahati mbaya au kwa Uzembe? Kama ni kwa uzembe, kwanini Mkullo asiujuzulu? Kama ni kwa makusudi, haibu kubwa kwa serikali ya Kikwete!!! Ninaanza kuamini kwamba mambo yanaendeshwa kisanii sanii !!!!
Tiba
Hii siyo aibu ya Mkulo aliye una unga elimu kwenye vyuo visivyo tambulika kimataifa, HII NI AIBU YA VASCO da GAMA-JK Mzee wa SAFARI[/QUOTE
mkulo!?Kikwete wana aibu hawa....aibu ni yako ambaye unaonanea aibu maovu!
KUNDI la wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) limeibua kashfa baada ya kueleza kuwa serikali iliwapelekea bajeti tofauti na ile iliyopitishwa na Bunge Julai mwaka huu.Taarifa za kashfa hiyo ziliwekwa hadharani jana asubuhi na mwenyekiti wa wahisani hao, Svein Baera wa Sweden katika mkutano wa kitaifa wa mwaka wa majadiliano ya kisera na bajeti uliofanyika jijini Dar es salaam.
Source: Mwananchi - Tuesday, 07 December 2010
Waungwana hii imekaaje????