Wahisani au Mabeberu?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
7,322
2,000
Wazungu huwa wakitusaidia kwa mikopo nafuu, au kutusapoti bure kwenye bajeti zetu, au wanapotusaidia kwenye miradi mbalimbali kama ya Afya, au Ujenzi wa miundo mbinu Serikali ya CCM huwaita WAHISANI na husema kuwa uhusiano wetu na wao ni Mzuri

Lakini Watu walewale wakianza kuhoji matendo ya serikali yetu kama vile Haki za binadamu, Uhuru wa habari, utawala bora na utawala wa sheria huwa Vijana wa CCM wanawaita MABEBERU

Hivi Beberu Mbaya inawezekanaje akawa mhisani?
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,776

Bado kidogo ccm wakisaidiwa watakuwa wanawaita hawa ndiyo wanaume, kama walivyowaita wale wazungu wa makinikia
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,992
2,000
Wazungu huwa wakitusaidia kwa mikopo nafuu, au kutusapoti bure kwenye bajeti zetu, au wanapotusaidia kwenye miradi mbalimbali kama ya Afya, au Ujenzi wa miundo mbinu Serikali ya CCM huwaita WAHISANI na husema kuwa uhusiano wetu na wao ni Mzuri

Lakini Watu walewale wakianza kuhoji matendo ya serikali yetu kama vile Haki za binadamu, Uhuru wa habari, utawala bora na utawala wa sheria huwa Vijana wa CCM wanawaita MABEBERU

Hivi Beberu Mbaya inawezekanaje akawa mhisani?
Hiyo inaitwa 'double standard politics' nikwasababu ya kukosa sera ya nchi kuhusu misaada na kiongozi madhubuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,073
2,000
Mabeberu watabaki kuwa mabeberu tu licha ya hiyo misaada ambayo ukiifuatilia undani wake ni biashara baina ya wao kwa wao.Hata wakati wa nyerere tuliwaita mabeberu pamoja na misaada yao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom