Wahindi wauziwa bonde la jangwani;vurugu za makamba kumbe ni wizi mtupu enzi zake; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahindi wauziwa bonde la jangwani;vurugu za makamba kumbe ni wizi mtupu enzi zake;

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 2, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa mliosoma mwananchi leo nimeshtuka kabla ya kukasirika na kutoa machozi pale nilipomwona mh lukuvi akipiga kelele mbele ya muhandisi aliekwenda nae kwa watu walio mabondeni/...walipofika na kuanza mkutano ndipo wakaomba wenye mawazo yao aakanyanyuka mzee mmoja na kudai mh lukuvi hujui kinachoendelea bonde la jangwani..kwa taarifa yako unatuambia tuondoke bonde limeshauzwa na ramani zake ziko wizara ya ardhi kwa sh mil 500 ukitaka docs tukupatie......
  Baada ya hapo lukuvi akamuuliza muhandisi ni kweli alivyo zoba akajibu ni kweli ameuziwa muhindi ..jumuiya ya kihindi ambapo wameleta mpanngo wa kujenga nyumba ndogo ndogo na kupangisha...ajui wenzake wanadaigi sina uhakika...heeeeeeee lukuvi akahamaki akadai jamani hii ni break nyuzi mnajua nilikuwa sijui hili nawahakiikishia kabla ya kuondoka waliopewa vibali tunahakikishwa vnafutwa..nahisi alihisi anaongea na wasioenda shule kama yeye ama lah....wastraabu wakamjibu sikunyingine ukija njoo unajua unakuja kuongea na wakina nani...kimoyo moyo..baada ya hapo akaomba wenye nyumba waje kake awapeleke wakapewe laisensi ili waje kulipwa wakiwa wanaondoka...na kujibiwa ukileta hiyo ya kufuta hati na sisi tunakuja kwako

  jamani hii nchi yetuuuuuuuu kumbe ishauzwa kila sehemu

  yaani yule babu makamba anapiga kelele kila siku kumbe wahindi walikuwa wanampa cha juu anakuja kuropoka watu mnamwona dili kumbe ....aisee sikujua ccm kuna njaa vile mpaka wakuu wa mikoa naona huyu nae walimlisha dili akujua mwenzake aliishia wapi na hili

  pole sana lukuvi soma nyakati muulize makamba ameishia wapi na hilina lile la soko la kariakoo na wamachinga pembeni....wale wamemilikishwa na yesuu


  sio na wezii wa pale wizara ya ardhi ...omba mungu akuongoze kwa hili na hasa swala la wamachinga usije aibika
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Hizi siri tuwe tunajulishwa jamani tuambiane tusije tukaamka kwenda makazini kumbe
  ardhi washauza kwa wahindi sehemu zetu za kazi;;;;hakika ipo siku watanzania watanyanyuka kudai haki zao
  hata kwa d#%(_u
   
 3. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nchi ni ya wa-Tanzania, ila ipo siku itakuwa ni ya mabepari, ya wenye hela. Kama Jangwani imeuzwa kwa Wahindi ni kwa nini serikali isiweke mambo wazi ikawalipa wakazi wa eneo la Jangwani fidia? Kufuta umiliki sidhani kama ni jambo sahihi. Tunapoelekea sasa ni kubaya, tusipoangalia kuna siku damu itamwagika Tanzania.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Tunaomba wenye data zaidi na vielelezo watuambatanishie ili tujue ni wapi tukaidai haki yetu sio tunaoishi kwenye hili bonde.
   
Loading...