"Wahindi" wataka wauziwe Upanga!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Wahindi" wataka wauziwe Upanga!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Jun 3, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  *Wasuka mipango mizito kutwaa eneo hilio.
  *Watumia "Waswahili" kutekeleza azma hiyo
  *Waziri Tibaijuka sasa akubali kukutana nao.

  Watanzania kadhaa wenye asili ya Kiasia wameibuka kupitia kundi la baadhi ya watu wakishinikiza serikali iwauzie nyumba zinazomilikiwa na Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Nyumba nyingi zilizolengwa ni zile zilizo katika eneo maarufu la Upanga ambalo kwa miaka mingi limekaliwa na wazarendo hao. Nyumba nyingi katika eneo hilo zinakaliwa na Watanzania wenye asili ya kiasia kutokana na sababu za kihistoria…………………………………………...
  Wamediriki kutumia nukuu kadhaa, zikiwemo za Rais Jakaya Kikwete, kutaka kuhalalisha hoja ya kuuziwa nyumba hizo. Aidha kundi hilo ambalo kesho linatarajia kukutana na Waziri wa ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi, Prof Anna Tibaijuka, kumeeleza azma hiyo linataka kwa mda huu kodi ya pango kwa nyumba wanamo ishi na kufanyia biashara zisipande. Kundi hilo limeunda kamati ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikisha azma yao inafanikiwa. Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Mujengi Gwao, Katibu ni Marco Rweyemamu na wajumbe ni Fkhurddin Taibali, Zestha Lyimo, M.Mblili Gharib Riyan, Fatma Khatibu, Joseph Mlay na Salehe Myonga. Kundi hili linataka mchakato wa utaratibu wa kumilikishwa na kuuziwa sehemu ya nyumba za ghorofa uanze bila kuingoja NHC endapo itataka kufanya hivyo…………………………..

  Source: Mtanzania Ijumaa, June 3, 2011


  Mtazamo wangu. Hili gazeti limetoa hii habari kwa mitazamo ya kibaguzi zaidi, hivi Mtanzania mwenye asili ya kiasia hana haki ya kuomba kuuziwa nyumba za serikali? Mbona Watanzania wengi tuu wanamiliki nyumba zilizokuwa za serikali? Wangeujadairi zaidi mchakato na siyo "Wahindi au Waswahili"
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  I hate wahindi soo much, afadhali kuishi na wachina wanaopigwa vita na hawa wahindi kuliko mi********* iliyobaka uchumi wetu miaka nenda rudi.

  Hao wahindi waulizwe, miaka kibao wamekaa kwenye nyumba za NHC kwa bei ndogo huku wakifanya biashara katikati ya miji, mbona hatuoni wakijenga nyumba zao binafsi? Faida wanapeleka wapi kama si kutoroshea Canada na UK? Mswahili akiwa hata na duka uchwara utakuta anajenga nyumba yake binafsi ndani ya miaka michache, mahindi hayajengi.

  Wahindi wanawalewesha viongozi wetu kwa hongo ili waendelee kubaka uchumi wetu. Huwezi kuwaona wanachanganyikana na waswahili kwenye shule zetu za msingi, huwakuti kwenye ajira za ualimu, upolisi, jeshini ama ofisi za serikali! Ajabu utawakuta Bungeni! Wabaguzi sana hawa wasipewe nyumba hizo ziendelee kubaki chini ya NHC.

  Tibaijuka asipokuwa makini watamtia mfukoni muda si mrefu.
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,801
  Likes Received: 5,091
  Trophy Points: 280
  ..Waafrika ni siye tuuzie Ilala na Ubungo.
   
Loading...