Wahindi wanasoma na kuiba nyota ya watu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,075
42,853
Makanjibahi wakikuona wewe mfanyakazi Wao wana nguvu za kiroho kukutumia utajikuta unafanya kazi miaka 20 Kwa ujira mdogo na hutapiga hatua.

Nimesimuliwa mhindi anayemiliki Apartments Kwa Jina la So****ia house hili Jina ni LA ALIYE kuwa mtumishi. Na mifano mingine ming.

ETI hadi Be*** wa Arusha mwenye maduka na yeye hili Jina ni LA mtumishi wake yeye anafanya manuva kuchukua Ile nyota Nimetokea wahindi wenye tabia hii ni kama kumfanya BINADAMU Mwenzako misukule .

Binti anakaa kwa mhindi anachomwa madawa anakuwa mgumba kisa tu abakie hapo nyumbani ukimtumikisha..

Tukemee mambo mabaya Bila aibu. Kama ni kweli au inasadikika lakini hizi habari nimeambiwa na bwana mmoja..
 
Usiendekeze imani za kichawi kazini, piga kazi ukiona ujira mdogo acha piga kazi sehemu nyingine. Kuna wakati unaweza kusema bora ya wahindi kuliko wabongo.
-Mishahara ya wahindi ni ya kiujanja ujanja lakini wenyewe kwa wenyewe wanalipana vizuri. Wabongo wanalipa vizuri wahindi kuliko wanavyowalipa wabongo wenzao.
 
Makanjibahi wakikuona wewe mfanyakazi Wao wana nguvu za kiroho kukutumia utajikuta unafanya kazi miaka 20 Kwa ujira mdogo na hutapiga hatua. Nimesimuliwa mhindi anayemiliki Apartments Kwa Jina LA Sophia house hili Jina Sophia ni LA ALIYE kuwa mtumishi. Na mifano mingine ming. ETI hadi Benson WA arusha mwenye maduka na yeye hili Jina Benson ni LA mtumishi wake yeye anafanya manuva kuchukua Ile nyota Nimetokea wahindi wenye tabia hii ni kama kumfanya BINADAMU Mwenzako misukule . binti anakaa kwa mhindi anachomwa madawa anakuwa mgumba kisa tu abakie hapo nyumbani ukimtumikisha.. Tukemee mambo mabaya Bila aibu. kama ni kweli au inasadikika Lakini hizi habari nimeambiwa na bwana mmoja
Hizi habari zipo sana na uhalisia wake ni zaidi ya asilimia 70. Ninafahamu mengi na madam kwakuwa umeligusia ninaweza kuleta full version.... wengi wa watumishi wa muda mrefu kwa wahindi hawana vivuli hata u search kwa darubini kali ya Afande Sele
 
Enzi ya Sayansi na Teknolojia hii.

Simulizi hizi za mambo ya ushirikina zimepitwa na wakati.

Godbless Lema leo yuko jela kwa ajili ya kupiga ramli kupitia mfumo wa mahubiri ya kiinjilisti.

Tetesi zimepita kuwa hata Kiongozi fulani anafanya kazi zake kwa ramli za Matapeli Wahubiri wa Kinaijeria. Na pia kateua wasaidizi wake kwa kupata Ushauri kutoka kwa Tapeli hili Mashuhuri la Kinaijeria.

Mambo ya hirizi, uchawi, kuangalia nyota, kukata mikono Zeruzeru, kutegemea Mchungaji au Imamu afanye vitu vyake vimepitwa na Wakati.

Under World.

Waliotengeneza hii simu unayoishika mkono ni wana Sayansi. Sio Benson, Kurwa au Doto.

Binaadamu ana uwezo mkubwa sana. Mpaka sasa na dunia inavyokwenda, mwanadamu hajaweza kutumia hata asilimia 3% ya uwezo wa ubongo Mwanadamu.

Kama uchawi, basi Tuondoeni Umasikini na Ujinga.
 
Kuchukua kuzifunga na kuzichafua nyota sio wahindi peke yao hata waafrika kwa kutumia Nguvu za giza wanafanya hayo
 
Usiendekeze imani za kichawi kazini, piga kazi ukiona ujira mdogo acha piga kazi sehemu nyingine. Kuna wakati unaweza kusema bora ya wahindi kuliko wabongo.
-Mishahara ya wahindi ni ya kiujanja ujanja lakini wenyewe kwa wenyewe wanalipana vizuri. Wabongo wanalipa vizuri wahindi kuliko wanavyowalipa wabongo wenzao.
Umemaliza kila kitu
 
Hizi habari zipo sana na uhalisia wake ni zaidi ya asilimia 70. Ninafahamu mengi na madam kwakuwa umeligusia ninaweza kuleta full version.... wengi wa watumishi wa muda mrefu kwa wahindi hawana vivuli hata u search kwa darubini kali ya Afande Sele
SWALI : Mtaalamu, kwa heshima na taadhima ninaomba unisaidie suala langu. Mimi ni mwanamke mkaazi wa manispaa ya Nyamagana, jijini Mwanza, umri wangu ni miaka 37, mume wangu ana miaka 45 sasa. Tangu tumefunga ndoa, huu ni mwaka wa kumi na tano. Mimi nina jishughulisha na biashara ya ufundi cherehani. Mume wangu amesoma hadi Chuo Kikuu, amesomea mambo ya kompyuta.



Tangu mwaka 2000 mume wangu amekuwa akifanya kazi kwenye Internet Café ya Muhindi . Hela anayo lipwa kidogo sana, na kutokana na uchapaji kazi wake, kampuni nyingi zimekuwa zikimfuata zikitaka kumuajiri tena kwa kulipa hela nyingi zaidi ya zile anazo lipwa kwa huyo tajiri muhindi.

Unyayo


Lakini cha kushangaza mume wangu amekuwa akiwakatalia. Maisha tunayo ishi hayaridhishi hata kidogo, tunazidiwa mpaka na vijana wadogo walio anza maisha juzi tu. Nikimwambia mume wangu, atafute sehemu yenye maslahi, anakataa. Nikiwambia tutunze hela, afungue nay eye internet café yake, anakataa pia, yeye amekazana na kumtumikia huyo muhindi.


Siku moja nikiwa naongea na shoga yangu mmoja, akaniambia inawezekana mume wangu atakuwa amefanywa msukule wa ofisini na huyo bosi wake muhindi. Eti mtaalamu, hivi ni kweli, jambo hilo linawezekana kwamba kweli mume wangu amefanywa msukule wa kazi na bosi wake ? kama ni kweli ninamtoaje kwenye huo utumwa ?


JIBU.

Pole sana dada angu kwa madhila yaliyo mkuta mume wako. Ni kweli kabisa, wapo misukule wa ofisini. Uchawi huu, hufanywa na wamiliki wa kampuni na biashara mbalimbali. Walengwa wakuu wa uchawi huu ni kwanza wafanyakazi wachapakazi walio na weledi wa kazi husika, na pili wafanyakazi ambao nyota zao zinaendana na biashara husika.


Wapo misukule wa aina mbili. Misukule wanao onekana kwa macho ya nyama, na misukule wasio onekana.



Misukule wasio onekana ni watu wanao dhaniwa kufa, lakini kiukweli wanakuwa hawajafa, isipokuwa wanakuwa wamechukuliwa kichawi.



Ilihali misukule wanao onekana, ni watu wanaoishi kama watu wengine, lakini nyota zao zinakuwa zimechukuliwa na wachawi kwa matumizi yao binafsi (wachawi ) na pia nafsi.




Misukule wa maofisini wapo katika kundi la misukule wanao onekana . Watu hawa hupumbazwa kufungwa kichawi na kufanywa watumishi wa walio wapumbaza, kwa kadri walivyo nuiziwa. Wapo walio nuiziwa kuwatumikia mabosi wao kwa miaka kumi, wengine ishirini, wengine thelathini na w engine katika maisha yao yote.



Msukule huyu anaweza kuwa bar maid, meneja wa bar, House Girl, House Boy, Mkata majani, mkurugenzi wa kampuni kubwa, Mwalimu, daktari,mwanasheria, fundi wa magari, Mtayarishaji wa muziki, muuza mayai, au Ice Cream nakadhalika.


JINSI MISUKULE WA MAOFISINI WANAVYO TENGENEZWA.

Ili kumtengeneza mtu na kumfanya awe msukule wa ofisi mambo yafuatayo hufanyika.



Kwanza zinachukuliwa nyayo zake, kisha zinafungwa kwenye kitambaa cheusi pamoja mchanganyiko wa miti ya kichawi ya aina arobaini na dua maalumu ya kumfunga muhusika.


Pili linachimbwa shimo lenye urefu wa futi saba, ndani ya shimo hilo inafanyika kafara ya PUNDA MWENYE ALAMA YA MSALABA MGONGONI na kondoo mwenye rangi nyeusi bila doa lolote, halafu nyayo za mtu huyo zilizo fungwa kwenye kitambaa cheusi zikiwa pamoja na miti arobaini ya kichawi na dua yake, vinatupiwa kwenye shimo hilo huku maneno Fulani ya kichawi yakitamkwa.


Baada ya hapo litachukuliwa jiwe lenye uzito unao endana na idadi ya miaka ambayo mchawi anataka kumtumikisha muhusika.


Kama anamtaka kwa mwaka mmoja, basi jiwe huwa na uzito wa kilo moja, kama ni miaka kumi basi jiwe huwa na uzito wa kilo kumi, kama ni miaka thelathini, basi mawe yawe na uzito wa kilo thelathini, na kama anataka kumtumikisha maisha basi ataweka mawe yenye uzito wa kilo hamsini hadi miaka. Mawe hayo hukandamiza hicho kitambaa.


Baada ya hapo shimo hilo litafukiwa kwa udongo wa makaburini. Mambo haya yakisha fanyika, utachukuliwa mchanga wa kwenye kivuli cha muhusika, utachanganywa na dawa nyingine za kichawi ambazo idadi yake ni tisa, vitu vitafungwa kwenye kitambaa cheusi, na kuhifadhiwa kwenye kibuyu au chungu cheusi chenye dawa za kichawi kwa siku saba, baada ya hapo atachukuliwa kuku mweusi ambaye ataunguzwa kwenye chungu cheusi akiwa mzima hadi awe majivu.


Majivu hayo, yatagawanywa mara mbili, kisha fungu la kwanza atalishwa PUNDA MWENYE ALAMA YA MSALABA MGONGONI na kisha atazikwa akiwa mzima mzima, na fungu la pili atalishwa kondoo mweusi na kuzikwa akiwa mzima mzima.


Baada ya hapo litafanyika tambiko jingine la kafara ya PUNDA MWENYE ALAMA YA MSALABA MGONGONI na kondoo mweusi.


Kabla ya kuchinjwa kondoo pamoja na punda hao watalishwa dawa fulani za kichawi, na baada ya kuchinjwa nyama ya punda na kondoo watakao tolewa kafara, itatumika kumlisha mtu au watu walio kusudiwa. Mara nyingi huwa kwenye sherehe, hafla, au anaweza kukuita nyumbani kwake, kisha nyama husika ikawa kitoweo chako.



MTU AKIFANYIWA ULOZI HUU, HUWA MTUMISHI MTIIFU KATIKA MAISHA YAKE YOTE. AINA HII YA ULOZI HUTUMIKA PIA KATIKA MAPENZI.


Jinsi Ya Kujikinga Na Ulozi Huu:

Ili kujikinga na ulozi huu, mhusika afanyiwe tambiko maalumu la kumkinga dhidi ya uchawi na ulozi wa aina yote ile. Na kama tayari mtu ameshafanyiwa ulozi huu, basi lifanyike tambiko maalumu la kurudisha nyota yake na kumfungua kutoka kwenye kifungo hicho.



Katika tambiko hilo, ni lazima sehemu iliyo tumika kuzika unyayo wa muhusika, igunduliwe na kisha tambiko maalumu likafanyike katika eneo hilo.
 
Hizi imani za kishirikina zilishapitwa na wakati kitambo sana,
Ni mambo ya za zama za mawe,enzi zile za zama za ujima,

Hizi imani za kuamini vitu vya kusadikika ndio zilisababisha watu wengi kuuawa kwenye vita vya maji maji,waliaminishwa kua ukisema "maji" eti risasi itageuka na kua maji..!! (Hili ni somo la historia shule ya msingi enzi zilee)

Tupo kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia, hakuna taifa lolote hapa duniani lililopata maendeleo yake kwa kuamini ushirikina na mambo ya kusadikika, tubadilike twende na wakati hizi ni zama zingine tena,

Juhudi zako,maarifa,nidhamu ya kazi na kujiwekea malengo yako ndio vitu vitakavyokupa maendeleo.
 
Makanjibahi wakikuona wewe mfanyakazi Wao wana nguvu za kiroho kukutumia utajikuta unafanya kazi miaka 20 Kwa ujira mdogo na hutapiga hatua.

Nimesimuliwa mhindi anayemiliki Apartments Kwa Jina la So****ia house hili Jina ni LA ALIYE kuwa mtumishi. Na mifano mingine ming.

ETI hadi Be*** wa Arusha mwenye maduka na yeye hili Jina ni LA mtumishi wake yeye anafanya manuva kuchukua Ile nyota Nimetokea wahindi wenye tabia hii ni kama kumfanya BINADAMU Mwenzako misukule .

Binti anakaa kwa mhindi anachomwa madawa anakuwa mgumba kisa tu abakie hapo nyumbani ukimtumikisha..

Tukemee mambo mabaya Bila aibu. Kama ni kweli au inasadikika lakini hizi habari nimeambiwa na bwana mmoja..
akili yako tu kuridhika na mshahara wa 60,000 hakuna kurogwa
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom