Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,462
- 154,344
Kampuni moja ya kupiga chapa vitabu vya kutumika mashuleni imetoa picha ya Yesu akiwa anavuta sigara na kunywa bia ya kopo.
sorce: BBC
sorce: BBC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafikiri YESU anatukanika?huwezi kumtukana MUNGU hata siku moja,wanajidanganya bure..Poor them!
Kampuni moja ya kupiga chapa vitabu vya kutumika mashuleni imetoa picha ya Yesu akiwa anavuta sigara na kunywa bia ya kopo.
sorce: BBC
Unajua eeh! Kilicho kikubwa hapo ni kuwapuuza. Lakini kama wamechapa vitabu vya mashuleni ni kuwapuza vizuri zaidi, kwa sababu wanataka wanafunzi wanaosoma mvitabu hivyo waone kwamba makampuni hayo hayastahili kuishi. Lakini mjinga ni mstaarabu sana - ukimwelimisha hugundua kosa lake na kubadilika kwa kuomba radhi kama mwenye makampuni ya Toyota aliyekosea break za magari yake akakubali gharama kuyarudisha magari yote kiwandani kwa pesa yake! Mpumbavu ni hopeless kuliko msukule, maana anajua kabisa kwamba yeye hamnazo, lakini atakomalia kuinywa hatari mpaka pumzi yake ya mwisho. Bora Msukule anaweza kuombewa Ubungo na akarudi tena kuanza maisha upya.Kampuni moja ya kupiga chapa vitabu vya kutumika mashuleni imetoa picha ya Yesu akiwa anavuta sigara na kunywa bia ya kopo.
sorce: BBC
Wamewabeza wakatolic, ndiyo wanaoendekeza mapicha na masanamu. Nani aliwahi kumpiga picha Yesu?