Wahindi walazimisha kuuziwa nyumba za Upanga

FaizaFoxy, unaonekana kuwazimia sana wahindi, hili ndo tatizo linalosababisha hata wazawa wanakosa haki zao kwa sababu ya hizo stereotype kama zako za kudhani wahindi/watu weupe ni bora kuliko wazawa, mswahili akishaona ngozi nyeupe anachanganyikiwa. siku hizi mambo hayo yanakwisha kwa hiyo anza kujiandaa kwa mabadiliko watu wameamka sasa, na hizo nyumba kama zilikuwa zao kwa nini wanaomba kuuziwa si wazichukue tu?

Kwa nini nisiwazimie? hivi wewe hujuwi hata jina Tanzania katowa muhindi? hakuna cha stereotype, ukweli unabaki kuwa ukweli. Mtakufa navyo vijiba vya roho, kwani wahindi hatuwapati kwa kuchapa kazi na ndio maana wanaendelea haraka haraka, kokote wanapo kuwepo, iwe Tanzania au kwingine kokote, wahindi wana super speed katika maendeleo yao binafsi, jee umesha jiuliza ni kwa nini? badala ya kukaa na kuwashutumu? Wacheni roho za kichawi, kumchukia tu mtu na kumfanyia hiyana na uhasidi eti kwa sababu anakaa Upanga! Looo, mnanini nyie? nani aliyewakataza kukaa Upanga? mbona waafrika wengi tu wapo huko? hata hamuoni haya wala hamjuwi vibaya? nyumba mziuze wenyewe kwa njaa zenu halafu leo ohhh, wahindi.
 
Kwa nini nisiwazimie? hivi wewe hujuwi hata jina Tanzania katowa muhindi? hakuna cha stereotype, ukweli unabaki kuwa ukweli. Mtakufa navyo vijiba vya roho, kwani wahindi hatuwapati kwa kuchapa kazi na ndio maana wanaendelea haraka haraka,kokote wanapo kuwepo, iwe Tanzania au kwingine kokote, wahindi wana super speed katika maendeleo yao binafsi,jee umesha jiuliza ni kwa nini? badala ya kukaa na kuwashutumu? Wacheni roho za kichawi, kumchikia tu mtu na kumfanyia hiyana na uhasidi eti kwa sababu anakaa Upanga! Looo, mnanini nyie? nani aliyewakataza kukaa Upanga? mbona waafrika wengi tu wapo huko? hata hamuoni haya wala hamjuwi vibaya?

hiyo super speed waliyonayo tungependa wakaitumie huko maeneo ya kikonga na chato ili nchi iendelee.
 
Rushwa bila mtoaji na mpokeaji? na ile iliyokuwa nyumba ya wahindi, tukienda kula fish & chips zamani halafu ikaja kuitwa Mbowe ilipatikana ki rushwa??

Acha kujifanya mjuaji wewe hiyo nyumba unayoisema mzee mbowe alikuwa anaimiliki kabla baba yako hajaja mjini wewe ****ya
 
Huyu mama wa aridhi nae hana msimamo, wahindi wakanunue nyumba kwao sio tanzania, kikwete na wenzako mkiwauzia lazima radhi ya nyerere iwatafune, ulizeni historia kwanini wahindi hao nyumba zao zilichukuliwa na serikari
 
ni common knowledge kwamba watanzania ndio wamiliki wa kila kitu Tanzanian, tumeipa tu serikali itutazamie... badilisha neno dhulma ndugu
 
Hawawezi kudau kuwa zilikuwa ni zao, hizo ni mali za watanzania wote kwani pesa za kujengea waliiba hapa hapa na wala hawakutoka nazo kwao.
 
Utaratibu siyo mzuri kabisa, wahindi wamejenga majengo mengi India, Canada na hata hapa Dar wana nyumba zaidi y moja na niza kifahari lakini bado wanang'ngania za NHC. Wawapishe vijana wetu wanaomaliza vyuo na kuanza kusaka kazi hapa mjini au wale tunaodhani wana uhitaji wa hizo nyumba.

Kwa hali ya sasa hivi it is uneconomical kuingia kwenye nyumba yako uliyojenga na kuiacha ya NHC na hivyo mpangaji wa NHC ataendelea kukaa kwenye nyumba hiyo hata akiwa na nyumba kumi ambazo itamlipa zaidi na yeye kuendelea na za NHC. Mchechu upo? pandisha kodi kaka hata kama hamnashida na hizo pesa pelekeni zikaendeleze shule za kata na matibatu kwa wasiojiweza.
 
Kwa nini nisiwazimie? hivi wewe hujuwi hata jina Tanzania katowa muhindi? hakuna cha stereotype, ukweli unabaki kuwa ukweli. Mtakufa navyo vijiba vya roho, kwani wahindi hatuwapati kwa kuchapa kazi na ndio maana wanaendelea haraka haraka, kokote wanapo kuwepo, iwe Tanzania au kwingine kokote, wahindi wana super speed katika maendeleo yao binafsi, jee umesha jiuliza ni kwa nini? badala ya kukaa na kuwashutumu? Wacheni roho za kichawi, kumchukia tu mtu na kumfanyia hiyana na uhasidi eti kwa sababu anakaa Upanga! Looo, mnanini nyie? nani aliyewakataza kukaa Upanga? mbona waafrika wengi tu wapo huko? hata hamuoni haya wala hamjuwi vibaya? nyumba mziuze wenyewe kwa njaa zenu halafu leo ohhh, wahindi.

Kwenye hili,FaizaFoxy yuko sahihi. Nyumba nyingi za katikati ya jiji zilikuwa za hao tunaowaita wahindi kabla ya kutaifishwa na kumilikishwa kwa msajili wa majumba. Watanzania weusi wengi waligawiwa hizo nyumbalakini wengi wao waliziuza tena kwa hao tunaowaita wahindi kwa kisingizio kuwa heri wakajenge kibanda chao Geza ulole kuliko kupanga! Leo mnataka hao mnaowaita wahindi watupishe tena ili tuwauzie tena? Na huko tunakotaka wapelekwe hakuna wenyewe? Hivi kesho tukikuta mashamba makubwa huko Chato yanamilikiwa na wahindi, kilio si kitakuwa hiki hiki? Au nia ni kuwanyang'anya tena wakishajenga? Badala ya kukesha kutafuta mchawi na kuendekeza ubaguzi wa rangi, tujiangalie wenyewe tunapokosea na kujirekebisha. Tujenge na kujivunia vyetu badala ya kukodolea vya jirani.

Amandla........
 
wewe ni nani tukuamini?
 
Wahindi na wapakistani wapumbafu sana yani wanajiona kama wao wanahaki hapa tz kuliko hata sisi wazawa. Kuna siku tutawarudisha bhopal kwa bajaj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom