Wahindi walazimisha kuuziwa nyumba za Upanga

Wapo huko na mashamba yao utakaa kimya ukiyaona. Uliza uambiwe. Watumishi wa umma ndio waliowauzia wahindi hizo nyumba za NHC.

Kuna mmoja alinihadithia kisa kilichompata mara baada ya "kuikwaa" flat, mimi mwenyewe ilibidi nicheke, anasema alitembelewa na bibi yake kutoka kijijini, na siku ya tatu toka afike ikabidi amuulize mjukuu wake, "baba huku hamuendi chooni?, maana hii nyumba sioni choo", mjukuu akashangaa, akamuonesha yule bibi choo, bibi akamwabia "makubwa haya, mimi siku zote nilidhani kisima cha maji, na hayo maji ndio nilikuwa nayatumia kwa kunywa maana haya mnayoweka juu ya meza yabaridi sana yanaumiza meno".

story za teenagers hizi!
 
Habari zako za kinafik nafik. Hao wahindi hizo pesa walizitowa wapi? Au wao wanauwezo wa kuzitafuta zaidi yako? Majumba ya Upanga yalijengwa na wahindi na yakadhulumiwa na nyerere na wapangaji ambao si wahindi huziuza kwa shida zao za pesa.

Au hujui kuwa wengi wetu hata tukifiwa Dar basi hata kama kuuza flat tutauza ili tusafirishe maiti Kilimanjaro au Kagera au Mbeya? Au hujuwi kuwa wengi wetu tukiwa na kipaimara basi hata flat tutauza ili tukifanye cha nguvu? Au hujuwi kuwa wengi wetu tukimcheza mwari tutauza hata flat?

Ujinga wetu ndio maradhi yetu.

Wahindi ni wachapa kazi, wametoka walikotoka wakaanza kuuza bajia, chachamawa, kachori lakini tazama baada ya muda wako wapi? Na hausikii wanamcheza mtoto, wanakipaimara, wana harusi za kifahari, wana maziko ya kuleweshana. Wao kazi, kazi, kazi. Ndio maana unawaona wao ndio wana mafanikio. Wahindi huanza kula maraha wakishajijenga kimaisha na si kabla.

Tusitake kuwalaumu wahindi kwa uzembe wetu.

Acha uongo, ni nani aliuza flat kwa ajili ya kipaimara, maziko, au etc etc. naomba evidence.
 
Wapo huko na mashamba yao utakaa kimya ukiyaona. Uliza uambiwe. Watumishi wa umma ndio waliowauzia wahindi hizo nyumba za NHC.

Kuna mmoja alinihadithia kisa kilichompata mara baada ya "kuikwaa" flat, mimi mwenyewe ilibidi nicheke, anasema alitembelewa na bibi yake kutoka kijijini, na siku ya tatu toka afike ikabidi amuulize mjukuu wake, "baba huku hamuendi chooni?, maana hii nyumba sioni choo", mjukuu akashangaa, akamuonesha yule bibi choo, bibi akamwabia "makubwa haya, mimi siku zote nilidhani kisima cha maji, na hayo maji ndio nilikuwa nayatumia kwa kunywa maana haya mnayoweka juu ya meza yabaridi sana yanaumiza meno".

This is nonsense my dear. kwa hiyo huyo bibi alikuwa anakula na kunywa maji tu bila kunya kwa muda gani? yaani unataka tuamini kwamba kuna mtanzania mjinga kiasi cha kunywa maji ya chooni akidhani ni kisima, wewe ni muhindi? kama sio mhindi basi unajidharau sana. Pole
 
FaizaFoxy said:
Hizo sheria unazosema na huko kubanwa inawezekana kabisa ikawa ni hivyo wala sikata, kumbuka, Muingereza kaendesha hii nchi kwa kutubana kwa miaka mingapi? 40? na sisi toka tumejifunguwa katika huko kubanwa miaka mingapi? 49? wapi na wapi?

FaizaFoxy,

..Mwalimu Nyerere naye baada ya Azimio la Arusha aliendelea kutubinya wazawa tusishiriki ktk biashara na kumiliki vitega uchumi.

..Mzee Mwinyi alipoingia alifungua milango lakini hakukuwa na msaada wowote wa kuwainua wafanyabiashara wazawa ukizingatia kwamba tulikuwa tumebinywa na tawala zilizopita.

..Wahindi wenzetu wana-advantage kwasababu utakuta biashara zao zimeanza zamani sasa hivi wanatumia mitaji iliyokuwepo kwa mababu zao.
 
sawa nyumba ndogo ya kubwa la magamba ushauri wako wa kimagamba.
 
This is nonsense my dear. kwa hiyo huyo bibi alikuwa anakula na kunywa maji tu bila kunya kwa muda gani? yaani unataka tuamini kwamba kuna mtanzania mjinga kiasi cha kunywa maji ya chooni akidhani ni kisima, wewe ni muhindi? kama sio mhindi basi unajidharau sana. Pole

Siku tatu mpaka yalivyomzidi ikabidi aulize, usishangae hilo, mimi nilichukuwa house girl mwaka jana kutoka Iringa, na alikuwa hajui kutumia hicho choo akajaza kinyesi pembeni ya choo.

Umenoa mimi si muhindi na hata dada zako wengi wanatamani wangekuwa wahindi kama unabisha watazame ni wangapi wanavaa mawigi ya nywele za kihindi? wangapi wanajikiroga wapate rangi za kihindi?
 
FaizaFoxy,

..Mwalimu Nyerere naye baada ya Azimio la Arusha aliendelea kutubinya wazawa tusishiriki ktk biashara na kumiliki vitega uchumi.

..Mzee Mwinyi alipoingia alifungua milango lakini hakukuwa na msaada wowote wa kuwainua wafanyabiashara wazawa ukizingatia kwamba tulikuwa tumebinywa na tawala zilizopita.

..Wahindi wenzetu wana-advantage kwasababu utakuta biashara zao zimeanza zamani sasa hivi wanatumia mitaji iliyokuwepo kwa mababu zao.

Nakubaliana na wewe kwa baadhi tu ya mambo hapo juu, kuhusu kunyimwa mtaji au kubanwa na kuhusu wahindi kuwa na mitaji ya mababu zao, si sahihi kama utakavyo ieleweke.

Mtaji mkubwa walioachiwa wahindi na mababu zao ni kufundishwa kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu na si mtaji wa mali. Mtaji wa mali za wahindi unaanzia kwa kuuza bajia na kachori na mara utamkuta tayari kisha zama kwenye mengine.

Majority yetu tuna fursa sawa au zaidi ya wahindi lakini tunajifunga kwa kungoja kupewa au kusaidiwa mtaji, hatujijengei uwezo wa kuwa na mitaji mizuri, mtaji mzuri si fedha bali ni sisi wenyewe, uaminifu, kujituma, kuwa wakweli na kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii zaidi. Ni wangapi uwajuao wenye sifa hizo Tanzania? wachache sana, huo ndio ukweli, na hao wachache wenye sifa hizo, huwakuti katika hali mbaya.

Leo Tanzania unapeleka gari lako kwa fundi wa kikwenu atakudanganya, spare hii na hii na hii na kazi asiifanye ipasavyo na atakuhangaisha njoo kesho mara bado njoo kesho kutwa. At the same time mpelekee fundi wakihindi, atakuambia njoo kesho, na utakwenda utaikuta kweli imetengenezwa na hakuna kusumbuwana. Sasa kwa nini huyu fundi wa kihindi asiendelee na huyu wa kikwetu aendelee?
 
hata utengenezaji wa dawa feki na kuziuza nchi maskini inaonyesha wahindi walivyo wakweli na wachapakazi
 
Matapeli wapo dunia nzima, kama nchi yenu haina ukaguzi wa madawa na ukaziacha zikapita, imekula kwako.
 
Siku tatu mpaka yalivyomzidi ikabidi aulize, usishangae hilo, mimi nilichukuwa house girl mwaka jana kutoka Iringa, na alikuwa hajui kutumia hicho choo akajaza kinyesi pembeni ya choo.

Umenoa mimi si muhindi na hata dada zako wengi wanatamani wangekuwa wahindi kama unabisha watazame ni wangapi wanavaa mawigi ya nywele za kihindi? wangapi wanajikiroga wapate rangi za kihindi?

FaizaFoxy, unaonekana kuwazimia sana wahindi, hili ndo tatizo linalosababisha hata wazawa wanakosa haki zao kwa sababu ya hizo stereotype kama zako za kudhani wahindi/watu weupe ni bora kuliko wazawa, mswahili akishaona ngozi nyeupe anachanganyikiwa. siku hizi mambo hayo yanakwisha kwa hiyo anza kujiandaa kwa mabadiliko watu wameamka sasa, na hizo nyumba kama zilikuwa zao kwa nini wanaomba kuuziwa si wazichukue tu?
 
Evidence: ni nani anaekaa nyumba za nhc upanga na uhindini? kwa nini?

sababu ni rushwa na tabia ya viongozi wetu kupapatikia wageni, mifano ipo mingi kuanzia kwenye mikataba ya madini, umeme n.k,

Mhindi akitaka kitu kwako atajifanya rafiki yako sana, akishakipata hana time na wewe, ndio maana tunataka mabadiliko ili tupate viongozi watakao weka kipaumbele katika kuinua hali ya maisha ya mtanzania na sio wabinafsi wanaouza nchi kwa tamaa zao kama wanavyotaka kuwapa hao wahindi hizo nyumba.
 
Matapeli wapo dunia nzima, kama nchi yenu haina ukaguzi wa madawa na ukaziacha zikapita, imekula kwako.

kwa muhindi utapeli ni urithi!

Halafu nakushauri usifanye ubishi wa ki-form six unapozungumzia mambo muhimu ya kitaifa.
 
Chama cha wapangaji kimesema nyumba zisiuzwe badala yake zivunjwe na kujengwa magorofa marefu yatakayochukua watu zaidi.
Source:ITV
 
FaizaFoxy, unaonekana kuwazimia sana wahindi, hili ndo tatizo linalosababisha hata wazawa wanakosa haki zao kwa sababu ya hizo stereotype kama zako za kudhani wahindi/watu weupe ni bora kuliko wazawa, mswahili akishaona ngozi nyeupe anachanganyikiwa. siku hizi mambo hayo yanakwisha kwa hiyo anza kujiandaa kwa mabadiliko watu wameamka sasa, na hizo nyumba kama zilikuwa zao kwa nini wanaomba kuuziwa si wazichukue tu?

huyo bint IQ yake imexpire miaka miiiingi
 
sababu ni rushwa na tabia ya viongozi wetu kupapatikia wageni, mifano ipo mingi kuanzia kwenye mikataba ya madini, umeme n.k,

Mhindi akitaka kitu kwako atajifanya rafiki yako sana, akishakipata hana time na wewe, ndio maana tunataka mabadiliko ili tupate viongozi watakao weka kipaumbele katika kuinua hali ya maisha ya mtanzania na sio wabinafsi wanaouza nchi kwa tamaa zao kama wanavyotaka kuwapa hao wahindi hizo nyumba.

Rushwa bila mtoaji na mpokeaji? na ile iliyokuwa nyumba ya wahindi, tukienda kula fish & chips zamani halafu ikaja kuitwa Mbowe ilipatikana ki rushwa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom