Wahindi tusiwalaumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahindi tusiwalaumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, May 25, 2009.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nani wakulaumiwa kuwa wahindi wanaimaliza nchi na wazalendo kukosa kitu??
  Sisi ngozi nyeusi ndo tunajimaliza wenyewe, Mhindi anaongoza kwa kutoa cha juu. Tubadili tabia sote watz hasa ngozi nyeusi viongozi na vijana wote.

  Umaskini wetu na njaa za laki tano au nne zinatumaliza.
   
 2. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Wahindi kamwe hawawezi kuwa na huruma kwa watanzania! Na si wahindi tu, bali mfanyabiashara yeyote( na kama yupo, basi god bless him/her)!! Any business person( whether ni mhindi au mpogolo) is after maximum profit!!! Atafanya lolote litakalomwezesha kupata maximum profit!! Very unfortunately, profit can be incresead by maximizing sales or minimizing costs(maintaining other factors constant), or both!! However, in many corrupt countries, business people opt minimization of cost cause wanajuwa watawa-bribe government officials na kufanikiwa kukwepa kodi!! Watawa-bribe na kufankiwa kupata zabuni kiulaini.Therfore, kati wahindi na government officials wa kwanza kuwa blamed ni government officials!
   
 3. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni kweli unayosema, Viongozi wetu ndo wanatumaliza, Wakipata cha juu wanatulia kimpya hata kama trekita au ndege imenunuliwa ni under license. Tunakoenda yatatokea ya Rwanda na Burundi, Kwa nini nasema hivyo siku hizi ukipita mtaani au sehemu yoyote na gari zuri kabisa watu wanakuita mwizi, ukivaa T-shit ambayo inafanana na chama tawala ukapita sehemu na kuanza kusema chama hiki ndo kinatueletea maendeleo utapondwa mawe. Umeona ya Busanda ukionyesha vidole viwili wewe chadema na umekwisha. Sasa viongozi mubadilike hizo posho mnazolipwa na mishahara inatosha kabisa kuendesha maisha yako.

  Ni Mtazamo tu!! Profesa Jay
   
 4. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Come to think of it, the best Indian brains zinatengeneza nuclear weapons, nuclear reactors, magari (wapo Formula 1 sasa), pikipiki, bajaj, electronics, advanced computer software na hardware, etc

  The best African brains zinatengeneza nini???? Jibu lolote utakalopata hebu linganisha na hivyo vya hapo juu.

  Hata kungekuwa hamna ufisadi nchini bado wahindi would still be on top. Ufisadi ni shortcut tu.

  It's obvious tatizo letu kubwa sisi waafrika ni ujuha. Period.
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ngono na nyumba ndogo. Tunaishia kukimbizana na bajaj zenye mabinti saizi ya wanetu na kuwaua!
   
 6. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Nchi zote walizotwangana kwanza mambo yao angalau yapo ktk msitari; sijui kama kwetu njia hiyo inatufaa.

  Pia nchi hii kwasasa tunahitaji kiongozi MUIMLA, type ya kina Adolf Hitler au Josef Stalin na sio wasanii na mabaharia.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  iddi-amini ALIUMIZWA KICHWA NA HAWA WATU!akawafanya kitu mbaya.we unaposema tusiwalaumu wakati ndio wamewashika unaowapigia kura sijui una maana gan
   
 8. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wakulaumiwa washika madaraka na sio ma********* lakini inabidi watie adabu hawa jamaa tabia mbaya ziishe mungu ibariki CCM ya baadae
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Salaam.
  Asilimia kubwa ya waajili wa Tanzania ni wahindi na waarabu,tukichukilia viwandani,majumbani,mahotelini na kwenye makampuni mengi.
  lakini unakuta mishara ni midogo isiyo na marupurupu.na unakuta hawatoi mikataba ya kazi.unakuta wanaajili wenzao kutoka asia hata kazi ambazo wazawa tunaweza.walio wengi wanaishi national housing lakini wanajenga kwao asia.hawa jamaa ndo wakwepaji wakubwa wa kodi.
  wanatubagua wabongo na kutudharau kwa matusi na kejeli kisa wametuajili.waasia muogopeni Mungu.
   
Loading...